Mzee wasira amewazidi vijana wengi sana upeo wa kufikiri!

Mzee wasira amewazidi vijana wengi sana upeo wa kufikiri!

Wananchi wa bunda wanasemaje maana kawahudumia muda mrefu sana. Je, ni jimbo la kuigwa kwa viongozi wengine au niwaache wafu mzikane
 
Wananchi wa bunda wanasemaje maana kawahudumia muda mrefu sana. Je, ni jimbo la kuigwa kwa viongozi wengine au niwaache wafu mzikane
Wananchi wa Bunda hawataki hata kumuona ndiyo maana walimpa kura Esther Bulaya wakaachana na hiyo nyara.
 
Wasira ni uozo na aibu. Kwanza huu ni unyanyasaji wa wazee na anatumika kama kinyago kwa sababu wanaona upeo wake wa kufikiri umeshapungua. Balozi wa Tanzania nchini Angola amezuiwa na serikali ya Angola, halafu huyu mzee alivyochoka kiakili anakimbilia kumlaumu Lissu badala ya kuona hili ni jambo serious la uvunjaji wa taratibu za kidiplomasia! Idiot!
Yale yale! Kwa hiyo kumuita wasira uozo na kinyago hiyo kwako nayo ni hoja ya kutetea upande wako?

Kati ya wewe unayemuita wasira uozo na kinyago, na yeye aliyesema kila nchi ina utaratibu wake, na inabidi uheshimiwe na ufuatwe na wageni.na kwamba wao kama tanzania hawana uwezo wa kuipangia cha kufanya serikali nyingine.
Je,wewecunayetukana na yeye aliyejibu kwa utulivu ni nani ambaye uwezo wake wa kufikiri uko chini?
 
Amekutapeli nini?
Kila nchi na taasisi ina matapeli kwa maslahi ya nchi au taasisi,
Je,kama wasira ana akili za kuwazidi hadi kuwatapeli wengine kwa maslahi ya taasisi yake,je mtu huyo hana akili?
Je,kati ya aliyetapeliwa aliyetapeli ni nani hana matumizi mazuri ya akili?
Unacho uliza na kuelezea ni Nonsense.

Iko wazi huyo Mzee ni Debaucher
 
Yale yale! Kwa hiyo kumuita wasira uozo na kinyago hiyo kwako nayo ni hoja ya kutetea upande wako?

Kati ya wewe unayemuita wasira uozo na kinyago, na yeye aliyesema kila nchi ina utaratibu wake, na inabidi uheshimiwe na ufuatwe na wageni.na kwamba wao kama tanzania hawana uwezo wa kuipangia cha kufanya serikali nyingine.
Je,wewecunayetukana na yeye aliyejibu kwa utulivu ni nani ambaye uwezo wake wa kufikiri uko chini?
Pumbafu kama Wasira. Unajua maana ya balozi wa nchi na haki zake? Do you even know the existence of Vienna convention on diplomatic relationship? You people are fools and you think others are fools like you! Mi-fisiem ni mijitu mijinga mijinga ndiyo maana inaona Wasira ana hoja. Wasira ana hoja gani huyu aliyebakia kulala muda wote.
 
Unacho uliza na kuelezea ni Nonsense.

Iko wazi huyo Mzee ni Debaucher
Kilichowazi kinathibitishika kirahisi! Je unaweza ukatuonesha na sisi tuamini unachomuhumu?
Au ndio yale yale ya kuchafuana kwa hisia tu bila ushahidi!
 
Pumbafu kama Wasira. Unajua maana ya balozi wa nchi na haki zake? Do you even know the existence of Vienna convention on diplomatic relationship? You people are fools and you think others are fools like you! Mi-fisiem ni mijitu mijinga mijinga ndiyo maana inaona Wasira ana hoja. Wasira ana hoja gani huyu aliyebakia kulala muda wote.
Balozi ni mteule wa mkuu wa ccm,wasira ni ccm.kwahiyo wewe una uchungu sana na balozi kuliko hao ccm waliomtuma,ambao wao wameridhika na kuheshimu mamlaka na serikali za watu kwa sasa?
Ulitaka afanyaje,atoe kauli chafu kama hizi unazotoa wewe hapa?

Kati ya wewe na wao nani ni mpumbavu?
 
Wasira hana input yoyote kwenye chama labda kama yuko kwa ajili ya ushirikina tu.
Wenye chama chake ndio wanajua umuhimu wake,na ukimfuatilia kwenye mijadala yeye ni mcheshi,anajikita kwenye hoja,wala hahangaiki na maumbile,rangi elimu Wala umri wa mtu! Na hana uoga,yuko tayari muda wote! Akiinama kama kasinzia kumbe mwongo anasikia kila kitu!
 
Balozi ni mteule wa mkuu wa ccm,wasira ni ccm.kwahiyo wewe una uchungu sana na balozi kuliko hao ccm waliomtuma,ambao wao wameridhika na kuheshimu mamlaka na serikali za watu kwa sasa?
Ulitaka afanyaje,atoe kauli chafu kama hizi unazotoa wewe hapa?

Kati ya wewe na wao nani ni mpumbavu?
There is the Vienna Convention on Diplomatic Relations, which is what governs ambassadors. It is not about Samia, nor about who appoints whom. This is always a constitutional versus diplomatic issue, not a personal matter or the president's preference. Acha ujinga kama Wasira.
 
Unafikiri hayo yote,serikali,ccm na hata wasira hawajui? Hutaki wakae watafakari nini kimefanya wazuiwe?
Unafikiri kujibu au kulaumu haraka haraka bila hata kujua sababu ndio werevu?
 
Gentleman,
wakati kizazi cha wanaojidai ni hodari wa siasa za Tanzania wanatoka nduki kwa visingizio visivyo na mbele wala nyuma 🐒
Ni kweli,Wasira kama binadamu wengine,anaweza kuwa na mapungufu yake,ila kwenye mijadala wengi anawashinda! Yuko smart sana,ana utulivu,kupanik utapaniki wewe,,
 
umeamua kujitekenya

kabla ya mdahalo na lissu, afanye kwanza public lecture Makerere University, kisha tutamfikiria kama ataweza mdahalo na lissu
Kwa hiyo hapa una kubaliana na wasira kuwa kuna ngazi au hatua za kufuata kabla ya kufika mahali au kumfikia mtu fulani,si ndio?
 
Ni kweli,Wasira kama binadamu wengine,anaweza kuwa na mapungufu yake,ila kwenye mijadala wengi anawashinda! Yuko smart sana,ana utulivu,kupanik utapaniki wewe,,
uko sahihi gentleman 💪👊
 
Mzee wasira namuheshimu sana, pia mara nyingi huwa sipendelei sana kuchangia masual ya kisiasa ila acha nigusie kidogo.

Kwa maslahi mapana ya nchi huwa sivutiwi n vyama bali kiongozi na hoja zao baadhi stahiki, hii imenifanya niwe huru sana kujifunza mambo mbalimbali kutoka cham tawala na vya upinzani.

Viongozi wengi walioko madarakani hutumia muda mwingi sana kuzuia raia na wapinzani wasiishambulie serikali tawala kuliko kuishauri kuwa bora, mf. Mkuu anapoteleza wasaidizi watawahi kuja kuwafinga uelewa raia kuliko kumpa mkuu njia bora ya kutatua na kuboresha makosa yake.

Mzee wetu anachojaribu kukifanya ni kuwa kama ngao ya mkuu ili mpinzani aanzie kwake wakati mkuu anajianga na kutizama mbinu na mwenendo wa mpinzani yni ni kama before debate umsomee motion mover hoja zako zote huku washiriki pinzani wakiwa wanazikia kitu ambacho kitasababisha usishinde mhojiano.

Ushauri wangu kwa vyama vya siasa: Elimu, uzoefu na maarifa makubwa vinapaswa kutumika kuboresha,kurekebisha na kukuza maendeleo ya nchi kwa kuingiza mawazo chanya katika utendji hasa kukosoana kwa hoja ili kuwa bora zaidi na sio kutumia uwezo na maarifa kuwafanya raia vipofu wa mwenendo mbovu wa utumiahi w viongozi butu.

Nb: Kuwepo kwa malalamiko ya ukosefu wa ajira kwa wimbi kubwa la vijana hii inamaana kuwa wasomi ni wengi sana siku hizi which means awareness ndani ya vijn ni kubwa hivyo basi huwezi kutumia mbinu za kul na kipofu kwa mtu anayeona atakushika mkono ukizidisha idadi ya matonge.
 
Back
Top Bottom