Mzee wasira amewazidi vijana wengi sana upeo wa kufikiri!

Ana hoja gani mtu aliyechoka kiakili na amabaye hajitambui anakuwa mtumwa na mtu wa kutumikishwa na watoto wadogo

Kwa mtu mwenye akili miaka 80 anabidi kuachana na siasa za majukwaani na uchawa kwakuwa umri wake wa kuishi umekaribia Kuisha
 
Unachosema ni uchawa na uongo mbali na uzwazwa. Wasira hata vichaa wanamzidi kwa vile hawakani kuwa ni vichaa kama yeye na chawa wenzake na awafugaye mamaaa uchafu
 
Hebu tuwekee hoja za Steven Wassira hapa
 
Ndiomaana hata ester bulaya alimyoosha miaka10 iliyopita
Watu wamemzoea na kuona hana Jipya, ila ni hazina nzuri sana iliyo na mengi, ya zamani na ya sasa.
 
Gentleman,
wakati kizazi cha wanaojidai ni hodari wa siasa za Tanzania wanatoka nduki kwa visingizio visivyo na mbele wala nyuma 🐒
Ni mtazamo tu ila kizazi cha sasa ni kingine kabisa
 
Wazee hubaki washauri sio kutukanana na vijana majukwaani na kujidai kubishana kwenye mijadala migumu wakati akili huwa zinashrink jinsi umri unavyokwenda.
Huyo mzee anajua tuu historia labda Kwa wanapenda hadithi za zamani lkn simijadala ya chumi zakisasa,teknolojia zakisasa,kilimo chakisasa,siasa zakisasa nk.
 
Ndio maana ya uzee dawa.Sasa hp broilers wanajua nini zaidi ya ngono na matusi?
 
A good dancer knows the best time to leave the stage 😊 No matter how much the music is sweet! It will reach the time they must understand this
 
Unafikiri vina muda basi. Umri wa Wasira ku snap ni sekunde tu. Ipo siku mtajua hamjui akiachia shonde huku anahutubia.
 
Ana hoja gani mtu aliyechoka kiakili na amabaye hajitambui anakuwa mtumwa na mtu wa kutumikishwa na watoto wadogo

Kwa mtu mwenye akili miaka 80 anabidi kuachana na siasa za majukwaani na uchawa kwakuwa umri wake wa kuishi umekaribia Kuisha
Umemetumia kigezo gani kusema amechoka kiakili?
Umetumia kigezo gani kusema umri wake umekaribia kuisha. Kama hapa unawewe unafikiri umeongea jambo la maana basi ccm kutoka madarakani labda waamue wao kama vijana hizi ndio hoja zao wanazojivunia nazo!
 
Unachosema ni uchawa na uongo mbali na uzwazwa. Wasira hata vichaa wanamzidi kwa vile hawakani kuwa ni vichaa kama yeye na chawa wenzake na awafugaye mamaaa uchafu
Kama Hapa ndio upeo wako wa kufikiri ulipoishia na unajiona umeandika jambo la maana! Basi ccm itatawala mpaka ichoke yenyewe.maana mihemuko haitawatoa madarakani kama hakuna watu makini,wenye akili kubwa,he hekima na mipango na mbinu! Sasa huwezi kuwa na hivi vitu kama akili yako iko chini kiuwezo!
 
Hebu tuwekee hoja za Steven Wassira hapa
Fuatilia mijadala yake ndio utajua,sio muoga,hana hasira,mtulivu,anajibu na anatoa hoja safi!
Na inawezekana hata wachangiaji wengi hapa mezani wanachangia mada kwa hisia tu wala hawajamfuatilia,tundu lisu mwenyewe amekataa mjadala na wasira,,, naye ameongea yale yale wanayoyaongea vijana hapa,

Mara ooh yule mzee,mara ooh yule apumzike,kitu ambacho ni dalili ya uoga na unyanyapaa, ilitakiwa aende akamuoneshe mezani kwamba yeye ni kijana na ana hoja nzito kuliko mzee.na sio kukataa!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…