Sozo_ JF-Expert Member Joined Jun 12, 2022 Posts 776 Reaction score 1,132 Mar 15, 2025 #61 Benjamini Netanyahu said: Huyo sokwe ana busara gani? Click to expand... Tusifike huko, huyo ni binadamu kama binadamu mwingine, na Sokwe ni Sokwe, tusifananishe mtu na mnyama asiye na sifa ya binadamu.
Benjamini Netanyahu said: Huyo sokwe ana busara gani? Click to expand... Tusifike huko, huyo ni binadamu kama binadamu mwingine, na Sokwe ni Sokwe, tusifananishe mtu na mnyama asiye na sifa ya binadamu.
T Tony Laurent JF-Expert Member Joined Jan 5, 2011 Posts 5,606 Reaction score 7,032 Mar 15, 2025 #62 Hata USA wamempa urais Trump pamoja na umri wake kuwa mkubwa. Lakini wameona anawafaa kuwaongoza