Mzee Wasira amjulia hali Gachuma katika hospitali ya Bugando

Hakujiumba bali Mungu ndiyo alimuumba hivyo. Usikufuru kwani hata wewe waweza geuzwa kuwa kitu chochote
Nafahamu, nafanya hivyo kwa sababu huyu mzee naye ana maneno ya hovyo hukumbuki alimkejeli Lissu kwa ulemavu uliosababishwa na serikali ya CCM? Huyu hastahili heshima yoyote kwa vile naye ni mshenzi tu
 
Ulemavu wa Tundu Lissu ulisababishwa na Magufuli wala siyo serikali ya CCM.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…