KANYAMA
JF-Expert Member
- Aug 7, 2011
- 1,514
- 2,325
Bwege Mkubwa. Ishu ya ajali wewe unatoa povu kwenye kipumulio kisicho na meno. Bure kabisaCCM IFIKE PAHALA IBADIRIKE.
Upepo wa kisiasa umekaa vibaya mno.
Mabavu, wizi uhuni vimepitwa na wakati kwenye chaguzi.
Ushamba wa kisiasa.