OKW BOBAN SUNZU
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 53,868
- 121,001
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
KigwangalaWanaoigharimu CCM mpaka sasa hivi ni.
Abdul, Wassira, Chalamila ongeza wengine
Oops Ninja Jau, Yaani Ghafla Umeme Umekuwa MdogoNdio kaongea nin sasa uyu ninja ?
Bi Kidude MwenyeweWanaoigharimu CCM mpaka sasa hivi ni.
Abdul, Wassira, Chalamila ongeza wengine
Sijaelewa kosa la Chalamila hapa; anyway Wassira sijui kama atamaliza mwaka akiwa na nafasi hi; huyu alitaliwa kua na cheo hicho 10 years ago, sio sasa. Majibu yake yanaonesha kwamba, kwasasa ccm haina majibu ya changamoto zilizopoWanaoigharimu CCM mpaka sasa hivi ni.
Abdul, Wassira, Chalamila ongeza wengine
Kuna vitu vya kujibu na vitu vya kukaa kimya. Ni uwendawazimu kujibu hoja aliyotoa Lissu kwenye lile sualaDongo la Lissu limewaingia barabara.
Mtawekaje mabango barabarani ya kumtukuza mtu kisa Rais badala ya kuweka mabango ya kutangaza fursa za kiuchumi za nchi kama wenzetu Kenya?
Katika hili, Lissu alikuwa sahihi jana, leo, kesho na hata milele.