Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mama Ghati sasa awarudishie hela zao kila Seba Ndege. MAMA GHATI ILA ANAJUA KUCHEZA NA FURSA.Yeye mwenyewe hajui alitaka kuongelea nini alafu akajikuta anaongelea kitu kingine ambacho ata hakijui.
Mzee wangu Wasira endelea kupiga pesa, Mama yetu mama Ghati anazidi kufurahia tu uwepo wako CCM make maiti hatujafufuka.
Lissu yupogo sawa sana hapa tunahitaji tu mabadiliko "ccm must out*Dongo la Lissu limewaingia barabara.
Mtawekaje mabango barabarani ya kumtukuza mtu kisa Rais badala ya kuweka mabango ya kutangaza fursa za kiuchumi za nchi kama wenzetu Kenya?
Katika hili, Lissu alikuwa sahihi jana, leo, kesho na hata milele.
Dementia is real bro , uyu senior citizen alitakiwa awe kwenye vituo vya kulelea wazee , ila wanasiasa wanaona ni sawa kumdhalilisha majukwaaniHii imenishtua sana nilipoiona, LISSU aligusia Mabango, Mzee anagusia Ukabila.
Ananikumbusha Mzee Biden.
Huyu Mzee kweli kaenda chaka. Anaongea vitu ambavyo Lissu hakuongelea.Yeye mwenyewe hajui alitaka kuongelea nini alafu akajikuta anaongelea kitu kingine ambacho ata hakijui.
Mzee wangu Wasira endelea kupiga pesa, Mama yetu mama Ghati anazidi kufurahia tu uwepo wako CCM make maiti hatujafufuka.
Hahahaha hapo kwenye dementia umemaliza Kila kituSasa ungetegemea jibu gani kwa mzee kama huyu? Hoja za Lissu zinahitaji watu wenye IQ kubwa na active mind tena informed on current trending issues sio mzee mwenye dementia! Kule US angekua nursing or retirement home anakula tu na kusoma magazeti baada ya kupata MO energy drink
Hii theory Mimi naikubali kabisa 🤣Kuna watu hasa watoto wa darasa la tatu na la nne, wakimwangalia huyu mzee;
1. Wanaweza kuiamini kirahisi sana ile theory tuliyofundishwa ktk somo la Historia ya "evolution of a man" kwamba binadamu hapo kabla tulikuwaga masokwe au gorilla au chimpazee...
2. Mzee Wassira inavyoonekana evolution yake bado ni incomplete maana sura ya u - Sokwe bado imemng'ang'ania aisee🤔🤔🤔🤔🤔🏃🏃🏃🏃🏃
3. Huyu mzee anafaa sana kuwa "teaching aid" kwenye hiyo topic ya evolution of man" kwenye somo la Historia...
Mama Ghaati rara chini nkurengeeMama Ghati sasa awarudishie hela zao kila Seba Ndege. MAMA GHATI ILA ANAJUA KUCHEZA NA FURSA.
Lissu akiona hii atafurahi sana wamempa mtu level za Wenje. Imagine namba moja na namba mbili wa kijani hawawezi shindana kwa hoja na Lissu hata wakiungana.Sijaelewa kosa la Chalamila hapa; anyway Wassira sijui kama atamaliza mwaka akiwa na nafasi hi; huyu alitaliwa kua na cheo hicho 10 years ago, sio sasa. Majibu yake yanaonesha kwamba, kwasasa ccm haina majibu ya changamoto zilizopo
It is a bit low kumwita Sokwe. Ndivyo alivyouumbwa. Kosoa hoja zake.Kuna watu hasa watoto wa darasa la tatu na la nne, wakimwangalia huyu mzee;