Mzee Wassira ''aenda chaka'' akimjibu Tundu Lissu kuhusu hoja ya mabango ya Samia

Kuna watu hasa watoto wa darasa la tatu na la nne, wakimwangalia huyu mzee;

1. Wanaweza kuiamini kirahisi sana ile theory tuliyofundishwa ktk somo la Historia ya "evolution of a man" kwamba binadamu hapo kabla tulikuwaga masokwe au gorilla au chimpazee...

2. Mzee Wassira inavyoonekana evolution yake bado ni incomplete maana sura ya u - Sokwe bado imemng'ang'ania aisee🤔🤔🤔🤔🤔🏃🏃🏃🏃🏃

3. Huyu mzee anafaa sana kuwa "teaching aid" kwenye hiyo topic ya evolution of man" kwenye somo la Historia...
Hujafa, hujaumbika. Weka akiba ya maneno mkuu mtanashati.
 
Astakafurah,,,,,t 🤣🤣
Kuna watu hasa watoto wa darasa la tatu na la nne, wakimwangalia huyu mzee;

1. Wanaweza kuiamini kirahisi sana ile theory tuliyofundishwa ktk somo la Historia ya "evolution of a man" kwamba binadamu hapo kabla tulikuwaga masokwe au gorilla au chimpazee...

2. Mzee Wassira inavyoonekana evolution yake bado ni incomplete maana sura ya u - Sokwe bado imemng'ang'ania aisee🤔🤔🤔🤔🤔🏃🏃🏃🏃🏃

3. Huyu mzee anafaa sana kuwa "teaching aid" kwenye hiyo topic ya evolution of man" kwenye somo la Historia...
Astakafurah 🤣
 
Kwakweli hapa wameingia chaka huyu mzee kumteua hii nafasi
 
Sasa ungetegemea jibu gani kwa mzee kama huyu? Hoja za Lissu zinahitaji watu wenye IQ kubwa na active mind tena informed on current trending issues sio mzee mwenye dementia! Kule US angekua nursing or retirement home anakula tu na kusoma magazeti baada ya kupata MO energy drink
Lakini pia hata uwe na IQ kubwa kiasi gani, hata uwe na active mind kiasi gani, kuna spana zingine ni za kuacha zipite tu maana kuna upuuzi ukijaribu kuutetea unaishia kudhalilika tu. Hata air defense systems huwa kuna makombora zinayaacha yanapita tu maana hakuna namna ya kuyamudu.

Sasa kama hiyo spana ya mabango unaanzaje kuipangua wakati unajua kabisa ni unatetea upuuzi wa viwango vya kimataifa. Naamini hata sisiem wote wajikusanye nchi nzima kujibu hoja hiyo wote wataogelea, na hakuna mtu timamu atawaelewa. Hapo njia yenye ahueni kwao ilikuwa kukausha tu kama hawajasikia
 
Kuna watu hasa watoto wa darasa la tatu na la nne, wakimwangalia huyu mzee;

1. Wanaweza kuiamini kirahisi sana ile theory tuliyofundishwa ktk somo la Historia ya "evolution of a man" kwamba binadamu hapo kabla tulikuwaga masokwe au gorilla au chimpazee...

2. Mzee Wassira inavyoonekana evolution yake bado ni incomplete maana sura ya u - Sokwe bado imemng'ang'ania aisee🤔🤔🤔🤔🤔🏃🏃🏃🏃🏃

3. Huyu mzee anafaa sana kuwa "teaching aid" kwenye hiyo topic ya evolution of man" kwenye somo la Historia...
Mamlaka pia zingemtumia kwenye ku-promote utalii kuliko kwenye siasa. Ni kivutio kizuri sana 🤣
 
Hii imenishtua sana nilipoiona, LISSU aligusia Mabango, Mzee anagusia Ukabila.

Ananikumbusha Mzee Biden.

..Mzee Wassira anasema Tz hatuulizani makabila wakati muda mfupi ametoka kuvikwa mgolole wa kabila la Wagogo na kupewa jina la jamii hiyo.🤣
 
Back
Top Bottom