Mzee Wassira ''aenda chaka'' akimjibu Tundu Lissu kuhusu hoja ya mabango ya Samia

mzee kakosa hoja,
Kenya hawana uchawa kama kwetu huku
watendaji wanajikosha kwa wakuu kwa kufanya propaganda kuuaminisha umma vitu ambavyo havina uhalisia
 
Yeye mwenyewe hajui alitaka kuongelea nini alafu akajikuta anaongelea kitu kingine ambacho ata hakijui.
Mzee wangu Wasira endelea kupiga pesa, Mama yetu mama Ghati anazidi kufurahia tu uwepo wako CCM make maiti hatujafufuka.
Mama Ghati sasa awarudishie hela zao kila Seba Ndege. MAMA GHATI ILA ANAJUA KUCHEZA NA FURSA.
 
Dongo la Lissu limewaingia barabara.

Mtawekaje mabango barabarani ya kumtukuza mtu kisa Rais badala ya kuweka mabango ya kutangaza fursa za kiuchumi za nchi kama wenzetu Kenya?

Katika hili, Lissu alikuwa sahihi jana, leo, kesho na hata milele.
Lissu yupogo sawa sana hapa tunahitaji tu mabadiliko "ccm must out*
 
Yeye mwenyewe hajui alitaka kuongelea nini alafu akajikuta anaongelea kitu kingine ambacho ata hakijui.
Mzee wangu Wasira endelea kupiga pesa, Mama yetu mama Ghati anazidi kufurahia tu uwepo wako CCM make maiti hatujafufuka.
Huyu Mzee kweli kaenda chaka. Anaongea vitu ambavyo Lissu hakuongelea.
 
Hahahaha hapo kwenye dementia umemaliza Kila kitu
 
Kuna watu hasa watoto wa darasa la tatu na la nne, wakimwangalia huyu mzee;

1. Wanaweza kuiamini kirahisi sana ile theory tuliyofundishwa ktk somo la Historia ya "evolution of a man" kwamba binadamu hapo kabla tulikuwaga masokwe au gorilla au chimpazee...

2. Mzee Wassira inavyoonekana evolution yake bado ni incomplete maana sura ya u - Sokwe bado imemng'ang'ania aiseeπŸ€”πŸ€”πŸ€”πŸ€”πŸ€”πŸƒπŸƒπŸƒπŸƒπŸƒ

3. Huyu mzee anafaa sana kuwa "teaching aid" kwenye hiyo topic ya evolution of man" kwenye somo la Historia...
 
Hii theory Mimi naikubali kabisa 🀣
Cose Kuna watu kwakweli sura zinaonesha Moja Kwa Moja πŸ’―βœ…
 
Mzee huyu ktk umri wake wa miaka 80 kwa vyovyote vile atakuwa anaumwa ugonjwa wa kupoteza kumbukumbu (Amnesia).
 
Sijaelewa kosa la Chalamila hapa; anyway Wassira sijui kama atamaliza mwaka akiwa na nafasi hi; huyu alitaliwa kua na cheo hicho 10 years ago, sio sasa. Majibu yake yanaonesha kwamba, kwasasa ccm haina majibu ya changamoto zilizopo
Lissu akiona hii atafurahi sana wamempa mtu level za Wenje. Imagine namba moja na namba mbili wa kijani hawawezi shindana kwa hoja na Lissu hata wakiungana.

CCM ya Kikwete mbona ilikuwa na watu active pamoja na kesi zote za ufisadi walikuwa na propaganda, sasa hii team ya sasahivi doro namna hii.
 
It is a bit low kumwita Sokwe. Ndivyo alivyouumbwa. Kosoa hoja zake.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…