Tetesi: Mzee Wassira kuhamia CHADEMA

Hatumtaki huyo mchovu wa siasa, aliitbaria cdm kufa kabla ya 2012 lkn akafutika yeye kwenye viunga vya siasa.
 
Kwani mzee Mgaya amesemaje katika hili?
 
Huyo hapo anachunga mbuzi wake wawili
Hakuna tatizo ni haki yake kikatiba ila kwasasa yupo CDM na tunampitisha BUNDA ampige tena za USO, UPPERCUT CHEMBE KIDEVU huyo MZEE.
 
Labda atagombea urais kupitia Chadema!
Kama alikuwa bora kwa nini hamkumpa nyie mkampa cha mpapure?
Hebu tuache tunao watu makini ndani ya Chadema sio kama wenu intapelenyuwaa kutoka Kuwaiti ya Libya.
 
Ungesema ccm b ungeeleweka
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…