johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
- Thread starter
- #41
Siasa ni maisha bwashee!Apumzike Unajua Vijana Wanashindwa Hata Kushangaa 🙄
Mpaka Sasa Hivi Ana Vitukuu Bado Anataka Siasa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Siasa ni maisha bwashee!Apumzike Unajua Vijana Wanashindwa Hata Kushangaa 🙄
Mpaka Sasa Hivi Ana Vitukuu Bado Anataka Siasa
Kuna tetesi hapa jijini Dodoma kuwa kada mkongwe wa CCM aliyewahi kuhudumu Nccr mageuzi mzee Stephen Wassira atajiunga Chadema.
Inadaiwa kuwa mzee Wassira amechukua uamuzi huo bila kuweka bayana sababu za kufanya maamuzi hayo.
Tusubiri, muda ni msema kweli.
Maendeleo hayana vyama!
Atakuwa ameambiwa fomu ni moja, akamuombe ambae amechukua tayari atoe copy.
Hatuwezi Kumchukua MZEE WASSIRA , Tunaenda na BULAYA TU.
Mzee karibu chadema siasa ni watu
Kwani mzee Mgaya amesemaje katika hili?Kuna tetesi hapa jijini Dodoma kuwa kada mkongwe wa CCM aliyewahi kuhudumu Nccr mageuzi mzee Stephen Wassira atajiunga Chadema.
Inadaiwa kuwa mzee Wassira amechukua uamuzi huo bila kuweka bayana sababu za kufanya maamuzi hayo.
Tusubiri, muda ni msema kweli.
Maendeleo hayana vyama!
Bulaya kuna siku atarudi sisiemu, sio muda mrefu!
mark my words!
kuhusu bulaya naomba utoe ndoto haludi ng'oHatuwezi Kumchukua MZEE WASSIRA , Tunaenda na BULAYA TU.
huku CCM hatumhitaji.Yawezekana chama kinamuhitaji zaidi!
Hakuna tatizo ni haki yake kikatiba ila kwasasa yupo CDM na tunampitisha BUNDA ampige tena za USO, UPPERCUT CHEMBE KIDEVU huyo MZEE.
Wameshindwa kina Sumaye na Lowasa ndiyo ataweza huyuuu?
Mgombea urais wa Chadema!Huyo hapo anachunga mbuzi wake wawiliView attachment 1485166
Mnamtuma hyo sasaKwani Lowassa alifata nini?!
Ende akachunge mifugo, na uzee ule anatafuta nini!Angetulia tuu anatafuta nini ambacho amekosa akiwa CCM?
Kwa kazi nzuri ya JPM waliozoea wepesi wa maisha lazima watahangaika tuu.
Kama alikuwa bora kwa nini hamkumpa nyie mkampa cha mpapure?Labda atagombea urais kupitia Chadema!
Ungesema ccm b ungeelewekaKuna tetesi hapa jijini Dodoma kuwa kada mkongwe wa CCM aliyewahi kuhudumu Nccr mageuzi mzee Stephen Wassira atajiunga Chadema.
Inadaiwa kuwa mzee Wassira amechukua uamuzi huo bila kuweka bayana sababu za kufanya maamuzi hayo.
Tusubiri, muda ni msema kweli.
Maendeleo hayana vyama!
Mgombea urais wa Chadema!
Unadhani kila mtu ni Malaya wa kisiasa?Bulaya kuna siku atarudi sisiemu, sio muda mrefu!
mark my words!