Tetesi: Mzee Wassira kuhamia CHADEMA

Litakuwa tukio la kushangaza kweli kweli, vp wamemkata katika mbio za ubunge? Kuna muhindi alikuwa amemkalia vibaya kweli kweli jimboni huko
Huyu alishawahi kuhamia Nccr mageuzi akashinda ubunge sisi wahenga hatushangai!
 
Mtoa mada hujatumia akili kuleta tetesi kama hizo...Mzee Wasira katumikia Chama kwa muda mrefu sana na anampango wa kuchukua fomu ya Ubunge kupitia Ccm
 
Hivi huyu dingi yupo?
Nimecheka sana kumsikia huyu jamaa.
Kweli muda ukuta. Huyu jamaa enzi za Jakaya alikuwa ndio "think tanker" ha ha .
 
Mtoa mada hujatumia akili kuleta tetesi kama hizo...Mzee Wasira katumikia Chama kwa muda mrefu sana na anampango wa kuchukua fomu ya Ubunge kupitia Ccm
Hata Rip Kingunge Ngombale Mwiru aliitumikia CCM kwa muda mrefu sana kabla hajakata shauri na kumfuata Lowassa Chadema.

Usikariri bwashee!
 
Hivi huyu dingi yupo?
Nimecheka sana kumsikia huyu jamaa.
Kweli muda ukuta. Huyu jamaa enzi za Jakaya alikuwa ndio "think tanker" ha ha .
Nadhani ndiye atakayetengeneza ilani ya uchaguzi ya Chadema!
 
Huyu aliyekitabiria CHADEMA kifo?
 
Kimya kingi kinamshindo
 
Eti bila kuweka bayana sababu...sasa kuna sababu nyingine zaidi ya kutaka kurudi Bungeni?

Ila NCCR kungemfaa...kama hakunyea kambi lakini.
 
Labda agombee ukatibu kata
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…