johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
- Thread starter
- #81
Kwani Chadema ni mali ya Bulaya?Kama alitoka wakati ule nini kitamzuia kutoka mida hii? Ila atoke akaungane na Bulaya, haiwezekani kabisaaaa.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwani Chadema ni mali ya Bulaya?Kama alitoka wakati ule nini kitamzuia kutoka mida hii? Ila atoke akaungane na Bulaya, haiwezekani kabisaaaa.
Litakuwa tukio la kushangaza kweli kweli, vp wamemkata katika mbio za ubunge? Kuna muhindi alikuwa amemkalia vibaya kweli kweli jimboni hukoBwashee namzungumzia mzee Stephen Masatu Wassira!
Hawezi kuja bure kuna jamboKwanini?!
Huyu alishawahi kuhamia Nccr mageuzi akashinda ubunge sisi wahenga hatushangai!Litakuwa tukio la kushangaza kweli kweli, vp wamemkata katika mbio za ubunge? Kuna muhindi alikuwa amemkalia vibaya kweli kweli jimboni huko
Hata Rip Kingunge Ngombale Mwiru aliitumikia CCM kwa muda mrefu sana kabla hajakata shauri na kumfuata Lowassa Chadema.Mtoa mada hujatumia akili kuleta tetesi kama hizo...Mzee Wasira katumikia Chama kwa muda mrefu sana na anampango wa kuchukua fomu ya Ubunge kupitia Ccm
Nadhani ndiye atakayetengeneza ilani ya uchaguzi ya Chadema!Hivi huyu dingi yupo?
Nimecheka sana kumsikia huyu jamaa.
Kweli muda ukuta. Huyu jamaa enzi za Jakaya alikuwa ndio "think tanker" ha ha .
Huyu aliyekitabiria CHADEMA kifo?Kuna tetesi hapa jijini Dodoma kuwa kada mkongwe wa CCM aliyewahi kuhudumu Nccr mageuzi mzee Stephen Wassira atajiunga Chadema.
Inadaiwa kuwa mzee Wassira amechukua uamuzi huo bila kuweka bayana sababu za kufanya maamuzi hayo.
Tusubiri, muda ni msema kweli.
Maendeleo hayana vyama!
Huyu huyu bwashee!Huyu aliyekitabiria CHADEMA kifo?
Kimya kingi kinamshindoKuna tetesi hapa jijini Dodoma kuwa kada mkongwe wa CCM aliyewahi kuhudumu Nccr mageuzi mzee Stephen Wassira atajiunga Chadema.
Inadaiwa kuwa mzee Wassira amechukua uamuzi huo bila kuweka bayana sababu za kufanya maamuzi hayo.
Tusubiri, muda ni msema kweli.
Maendeleo hayana vyama!
Gombe citizenHuyu aliyekitabiria CHADEMA kifo?
Wenye chama wanamtaka!Hatutaki mbaula huku abaki huko huko uchawini
Bungeni anaweza kurudi kupitia CCM!Eti bila kuweka bayana sababu...sasa kuna sababu nyingine zaidi ya kutaka kurudi Bungeni?
Ila NCCR kungemfaa...kama hakunyea kambi lakini.
Kama watamfanyia wepesi.Bungeni anaweza kurudi kupitia CCM!
Labda agombee ukatibu kataKuna tetesi hapa jijini Dodoma kuwa kada mkongwe wa CCM aliyewahi kuhudumu Nccr mageuzi mzee Stephen Wassira atajiunga Chadema.
Inadaiwa kuwa mzee Wassira amechukua uamuzi huo bila kuweka bayana sababu za kufanya maamuzi hayo.
Tusubiri, muda ni msema kweli.
Maendeleo hayana vyama!
Hatutaki takataka labda ajaribu NCCR ndiko wanagawana na kubadilishana nyaraWenye chama wanamtaka!