johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
- Thread starter
- #101
Mbowe akimpokea hakuna wa kukataa hapo Ufipa!Hatutaki takataka labda ajaribu NCCR ndiko wanagawana na kubadilishana nyara
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mbowe akimpokea hakuna wa kukataa hapo Ufipa!Hatutaki takataka labda ajaribu NCCR ndiko wanagawana na kubadilishana nyara
Kuna tetesi hapa jijini Dodoma kuwa kada mkongwe wa CCM aliyewahi kuhudumu Nccr mageuzi mzee Stephen Wassira atajiunga Chadema.
Inadaiwa kuwa mzee Wassira amechukua uamuzi huo bila kuweka bayana sababu za kufanya maamuzi hayo.
Tusubiri, muda ni msema kweli.
Maendeleo hayana vyama!
Mbowe siyo mjinga kupokea mzigo.Mbowe akimpokea hakuna wa kukataa hapo Ufipa!
Endelea kukariri!Mbowe siyo mjinga kupokea mzigo.
Kwani dhambi?? Kwani yeye ndio wa kwanza?Bulaya kuna siku atarudi sisiemu, sio muda mrefu!
mark my words!
OkHuyu huyu bwashee!
Kwa wale wanaomfahamu Mzee Wassira, hili halitawashangaza kwani ni mmoja kati ya political opportunists wazuri sana waliowahi kuzaliwa katika nchi hii. Tusubiri tuone na tusikie.Kuna tetesi hapa jijini Dodoma kuwa kada mkongwe wa CCM aliyewahi kuhudumu Nccr mageuzi mzee Stephen Wassira atajiunga Chadema.
Inadaiwa kuwa mzee Wassira amechukua uamuzi huo bila kuweka bayana sababu za kufanya maamuzi hayo.
Tusubiri, muda ni msema kweli.
Maendeleo hayana vyama!
Haiwezi kutokea mkuuKwa wale wanaomfahamu Mzee Wassira, hili halitawashangaza kwani ni mmoja kati ya political opportunists wazuri sana waliowahi kuzaliwa katika nchi hii. Tusubiri tuone na tusikie.
Si alisema kabla ya 2013 CHADEMA itakufa sasa 2020 bado haijafa tu ?Kuna tetesi hapa jijini Dodoma kuwa kada mkongwe wa CCM aliyewahi kuhudumu Nccr mageuzi mzee Stephen Wassira atajiunga Chadema.
Inadaiwa kuwa mzee Wassira amechukua uamuzi huo bila kuweka bayana sababu za kufanya maamuzi hayo.
Tusubiri, muda ni msema kweli.
Maendeleo hayana vyama!
Hatuwezi Kumchukua MZEE WASSIRA , Tunaenda na BULAYA TU.
Hivi jina lake ni Mzee Wasira? au ni Stephen Wasira?Hatuwezi Kumchukua MZEE WASSIRA , Tunaenda na BULAYA TU.
Siasa ni sayansi huku kwa waliostaarabika. Huko kwenu siasa ni uongo,ulaghai,ushirikina na ubabe.Siasa ni sayansi......labda ameitwa kukifufua!
Unauhakika? Kastaafu au alistaafishwa na Esther Bulayo ktk kinyang'anyiro 2015!Yeye alishastaafu ubunge anataka nafasi ya juu zaidi!
Subiri uone kipigo atakachopata MGOMEA wa KIJANI.Bulaya bunda hana nafasi mumtafutie viti maarum, ili aonje joto la kuitwa baby.
Ni Stephen Wasira ,Ni Mzee kwasababu ana miaka 75 mkuu angekuwa Prof au Dr ningeanza na Dr or Prof wasira kwakuwa ni KANJANJA ndio maana nikampa heshima ya Mzee kwa kigezo cha umri.Hivi jina lake ni Mzee Wasira? au ni Stephen Wasira?
Subiri uone kipigo atakachopata MGOMEA wa KIJANI.
Sawa Mkuu.Nitakukumbusha baada ya matokeo mwezi 11