Tetesi: Mzee Wassira kuhamia CHADEMA

Tetesi: Mzee Wassira kuhamia CHADEMA

Kuna tetesi hapa jijini Dodoma kuwa kada mkongwe wa CCM aliyewahi kuhudumu Nccr mageuzi mzee Stephen Wassira atajiunga Chadema.

Inadaiwa kuwa mzee Wassira amechukua uamuzi huo bila kuweka bayana sababu za kufanya maamuzi hayo.

Tusubiri, muda ni msema kweli.

Maendeleo hayana vyama!

What would be the impact? Mbona kama hana jipya.
 
Huyu mzee alishawahi kuhamiaga NCCR-MAGEUZI enzi zile NCCR ni tishio ambalo halijawahi kutokea. Mwisho wa siku akarudi Chama Dume. Hata huko akienda, atarudi tu alikotoka.
 
Kuna tetesi hapa jijini Dodoma kuwa kada mkongwe wa CCM aliyewahi kuhudumu Nccr mageuzi mzee Stephen Wassira atajiunga Chadema.

Inadaiwa kuwa mzee Wassira amechukua uamuzi huo bila kuweka bayana sababu za kufanya maamuzi hayo.

Tusubiri, muda ni msema kweli.

Maendeleo hayana vyama!
Kwa wale wanaomfahamu Mzee Wassira, hili halitawashangaza kwani ni mmoja kati ya political opportunists wazuri sana waliowahi kuzaliwa katika nchi hii. Tusubiri tuone na tusikie.
 
Kuna tetesi hapa jijini Dodoma kuwa kada mkongwe wa CCM aliyewahi kuhudumu Nccr mageuzi mzee Stephen Wassira atajiunga Chadema.

Inadaiwa kuwa mzee Wassira amechukua uamuzi huo bila kuweka bayana sababu za kufanya maamuzi hayo.

Tusubiri, muda ni msema kweli.

Maendeleo hayana vyama!
Si alisema kabla ya 2013 CHADEMA itakufa sasa 2020 bado haijafa tu ?
 
Hivi jina lake ni Mzee Wasira? au ni Stephen Wasira?
Ni Stephen Wasira ,Ni Mzee kwasababu ana miaka 75 mkuu angekuwa Prof au Dr ningeanza na Dr or Prof wasira kwakuwa ni KANJANJA ndio maana nikampa heshima ya Mzee kwa kigezo cha umri.
 
Back
Top Bottom