Prince Kunta
JF-Expert Member
- Mar 27, 2014
- 22,797
- 28,904
Amekosa Demokrasia ya kugombea nafasi ya uraisi uko CCMAngetulia tuu anatafuta nini ambacho amekosa akiwa CCM?
Kwa kazi nzuri ya JPM waliozoea wepesi wa maisha lazima watahangaika tuu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Amekosa Demokrasia ya kugombea nafasi ya uraisi uko CCMAngetulia tuu anatafuta nini ambacho amekosa akiwa CCM?
Kwa kazi nzuri ya JPM waliozoea wepesi wa maisha lazima watahangaika tuu.
DuhNi Stephen Wasira ,Ni Mzee kwasababu ana miaka 75 mkuu angekuwa Prof au Dr ningeanza na Dr or Prof wasira kwakuwa ni KANJANJA ndio maana nikampa heshima ya Mzee kwa kigezo cha umri.
Wa nini wakati huu? Akalee vitukuuKuna tetesi hapa jijini Dodoma kuwa kada mkongwe wa CCM aliyewahi kuhudumu Nccr mageuzi mzee Stephen Wassira atajiunga Chadema.
Inadaiwa kuwa mzee Wassira amechukua uamuzi huo bila kuweka bayana sababu za kufanya maamuzi hayo.
Tusubiri, muda ni msema kweli.
Maendeleo hayana vyama!
PoorUnaweza kukuta unayeniuliza ni raia wa Malawi.
Lakini kwa uchache,
1. Nidhamu kwa watumishi wa umma
2. Miundombinu imeboreshwa na inazidi kuboreshwa
3.Mapambano dhidi ya madawa ya kulevya
4. Umeme vijijini unasambazwa kwa kasi
5. Mikopo elimu ya juu
6. Mapambano dhidi ya rushwa
7. Madini sasa yanaleta Tija
Hebu ongezea na wewe usisahau kumpigia kura JPM wahamasishe na wenzako 10.
Kama hii ndo siasa, basi ni dalili za wendawazimu. Kuna mfululizo wa vipindi vya mahojiano ya Wasira na mwana habari ambavyo Wasira muda wote anatukana Chadema na uongozi wake. Haininiingii akilini Wasira kuwa amekaa meza moja na Lisu au yoyote yule wa Chadema. Sihoji umakini na usomi wa huyu mzee. Tatizo hapa ni kupata cheo kwa njia yoyote: halali au isiyo halali. Siyo mapenzi ya sera za Chadema au upinzani. Achilia mbali umri wa huyu mzee, nitawashangaa Chadema hata kuanzisha mazungumzo yoyote ya mahusiano.Kuna tetesi hapa jijini Dodoma kuwa kada mkongwe wa CCM aliyewahi kuhudumu Nccr mageuzi mzee Stephen Wassira atajiunga Chadema.
Inadaiwa kuwa mzee Wassira amechukua uamuzi huo bila kuweka bayana sababu za kufanya maamuzi hayo.
Tusubiri, muda ni msema kweli.
Maendeleo hayana vyama!
Kazi nzuri gani ?
Kuna tetesi hapa jijini Dodoma kuwa kada mkongwe wa CCM aliyewahi kuhudumu Nccr mageuzi mzee Stephen Wassira atajiunga Chadema.

Mzee apumzike tu maana kuna muda umri ukifika na vijana wakakutandika ni bora utulieKuna tetesi hapa jijini Dodoma kuwa kada mkongwe wa CCM aliyewahi kuhudumu Nccr mageuzi mzee Stephen Wassira atajiunga Chadema.
Inadaiwa kuwa mzee Wassira amechukua uamuzi huo bila kuweka bayana sababu za kufanya maamuzi hayo.
Tusubiri, muda ni msema kweli.
Maendeleo hayana vyama!