Mzee Wassira: Madaktari wanasema Niko vizuri. Mimi mwenyewe Siwezi Kujua ila madaktari wanasema Niko Fiti!

Kama hata wewe mwenyewe hujijui kama uko fit hivi unajitambua kweli kweli?
 
Kasongo mbona unajitetea wewe kausha tu endelea kusinzia haina shida
 

Attachments

  • FB_IMG_1738686918387.jpg
    35 KB · Views: 1
  • IMG-20250122-WA0047.jpg
    32.8 KB · Views: 1
  • Screenshot_20250125_092130.jpg
    120.8 KB · Views: 1
  • FB_IMG_1738686918387.jpg
    35 KB · Views: 1
  • FB_IMG_17386715241787585.jpg
    163.6 KB · Views: 1
  • Gi72JxVWgAA0YAz~2.jpeg
    15.3 KB · Views: 1
Omba upumzike we mzee, utafia majukwaani huwezi kupambana na wajukuu zako kina Twaha Mwaioaya na Pambalu wenzio damu changa. Utakufwa vby ww uwaache wajukuu zako na masikitiko.

Hii miaka umepewa na Mwenyezi Mungu itumie kuacha legacy kwa wajukuu zako na si kuanza mikiki mikiki na vijana wadogo kisa kuwatetea vibaka wa kura CCM.
 
Kwa kumwangalia sura yake inaonesha huyo mzee amechoka na anatakiwa kupata muda mwingi wa kupumzika.Ipo siku atasinzia nusu saa nzima kwenye midahalo
Mumeishaambiwa gari ni injini siyo bodi!
Sasa hizo habari za sura inaonyesha sijui nini ni hoja za kike!
Hakuna mwanaume mwenye akili anayejaji sura za wanaume wenzake , kwani wewe ulitaka Mzee Wasira awe na sura nzuri unataka akuoe ili uzae nae wasichana wenye sura nzuri?!
 
sure,
Mzee wasira yuko vizuri kuliko Trump,

kibaka wa chadema licha ya kushauriwa na madaktari apumzike kutokana na hali yake but ameshupaza shingo na huo ni uamuzi wake.

acha afanye siasa na clinic 🐒
Nani huyo? Ni Lissu?
 
Wapi umemuona amelala au umemfumania kalala na demu wako ?!
Huyo hapo tena ameanza zaidi ya miaka 20 iliyopita hizo zote ni katika matukio tofauti tofauti
 

Attachments

  • FB_IMG_1738771860075.jpg
    12.7 KB · Views: 1
  • FB_IMG_17386715241787585.jpg
    163.6 KB · Views: 1
  • FB_IMG_1738686918387.jpg
    35 KB · Views: 1
  • Gi72JxVWgAA0YAz.jpeg
    7.6 KB · Views: 1
  • Screenshot_20250125_092130.jpg
    120.8 KB · Views: 1
Na hapo amepunguza miaka 6 umri wake halisi ni miaka 86+
 
Mzee Wasira ana miaka 80 , ni makamu wenyekiti wa Chama Cha mapinduzi!
Mzee Donald Trump ana miaka 79 ni rais wa Taifa kubwa duniani taifa la Marekani USA na ataendelea kuiongoza Marekani hadi mwaka 2029 atakapokuwa na miaka 84.
Papa fransis ana miaka 88 na ni kiongozi wa kanisa katoliki duniani na ataendelea kuliongoza hadi siku ya kufa kwake hata kama akiishi miaka 150 la sivyo aamue mwenyewe kujiuzulu.
Sasa niwaulize swali kuongoza CCM na kuongoza taifa kubwa kama Marekani na kuongoza taasisi kubwa kwa ngazi ya kimataifa kama roman Catholic church duniani ni ipi ni kazi kubwa zaidi inayohitaji mtu mwenye damu changa.
WAPINZANI WA MZEE WASIRA MNAJITOA UFAHAMU KAMA VILE HAMJAWAHI KUONA VIONGOZI WAZEE WENGINE KABLA YA MZEE WASIRA.
 
Nadhani anafanikiwa anachofanya kwa kuwatoa watu kwenye reli kwa kupoteza ammunition zao; The main culprit is still at large... Same old, Same old tricks zinazotumiwa na CCM siku baada ya siku...
 
Kwanza umri sahihi wa huyo babu ni miaka 87,pili katika hao uliotaja umeshawaona wanasinzia hadharani kwa staili ya huyo Kasongo?
 

Attachments

  • FB_IMG_1738771860075.jpg
    12.7 KB · Views: 1
  • Gi72JxVWgAA0YAz~2.jpeg
    15.3 KB · Views: 1
  • Screenshot_20250125_092130.jpg
    120.8 KB · Views: 1
  • FB_IMG_1738686918387.jpg
    35 KB · Views: 1
  • Screenshot_20250125_092130.jpg
    120.8 KB · Views: 1
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…