Bubu Msemaovyo
JF-Expert Member
- May 9, 2007
- 4,120
- 3,468
Kama hata wewe mwenyewe hujijui kama uko fit hivi unajitambua kweli kweli?Makamu Mwenyekiti wa CCM Mzee Wassira amesema madaktari wanasema yuko Fiti, Yeye mwenyewe hawezi kujua lakini madaktari wanasema yuko Fiti
Wassira alikuwa akiongea na Waandishi wa Clouds media na kusisitiza " nyie Wenyewe mmenikuta Niko hapa nawasubiri hii maana yake Niko vizuri sana"
View attachment 3236439
Source Clouds media