Mzee Wassira: Madaktari wanasema Niko vizuri. Mimi mwenyewe Siwezi Kujua ila madaktari wanasema Niko Fiti!

sure,
Mzee wasira yuko vizuri kuliko Trump,

kibaka wa chadema licha ya kushauriwa na madaktari apumzike kutokana na hali yake but ameshupaza shingo na huo ni uamuzi wake.

acha afanye siasa na clinic šŸ’
Kwan nn huyu Babu analala jukwaani na hata bungeni alkua na tatzo la usingiz muda mrefu??
 
Kwanza umri sahihi wa huyo babu ni miaka 87,pili katika hao uliotaja umeshawaona wanasinzia hadharani kwa staili ya huyo Kasongo?
Lete ushahidi umri wa mzee Wasira ni 87 yrs!
Huyu ni mtu kazaliwa kabla ya uhuru, hayo mambo ya kupunguza miaka hayakuwepo kwa sababu hapakuwa na faida za kupunguza miaka kwa kipindi hicho. Sasa Mzee Wasira atapunguza miaka kwa faida gani , au ana mpango kwa kumchumbia dada yako ndio ikabidi apumguze umri ili aonekane bado kijana?! Lete ushahidi.
 
Mzee Wasira ana miaka 80 , ni makamu wenyekiti wa Chama Cha mapinduzi!
Mzee Donald Trump ana miaka 79 ni rais wa Taifa kubwa duniani taifa la Marekani USA na ataendelea kuiongoza Marekani hadi mwaka 2029 atakapokuwa na miaka 84.
Papa fransis ana miaka 88 na ni kiongozi wa kanisa katoliki duniani na ataendelea kuliongoza hadi siku ya kufa kwake hata kama akiishi miaka 150 la sivyo aamue mwenyewe kujiuzulu.
Sasa niwaulize swali kuongoza CCM na kuongoza taifa kubwa kama Marekani na kuongoza taasisi kubwa kwa ngazi ya kimataifa kama roman Catholic church duniani ni ipi ni kazi kubwa zaidi inayohitaji mtu mwenye damu changa.
WAPINZANI WA MZEE WASIRA MNAJITOA UFAHAMU KAMA VILE HAMJAWAHI KUONA VIONGOZI WAZEE WENGINE KABLA YA MZEE WASIRA.
Acha kutetea ujinga, mzee dish lishayumba na mwili ushachoka. mnataka kumuua mzee wa watu. Kaanza kazi mwaka 1952 akiwa kijana wa miaka 24 ..hadi leo ana lipi jipya atawapatia kama si kuoiga usingizi.
 
Lete ushahidi umri wa mzee Wasira ni 87 yrs!
Huyu ni mtu kazaliwa kabla ya uhuru, hayo mambo ya kupunguza miaka hayakuwepo kwa sababu hapakuwa na faida za kupunguza miaka kwa kipindi hicho. Sasa Mzee Wasira atapunguza miaka kwa faida gani , au ana mpango kwa kumchumbia dada yako ndio ikabidi apumguze umri ili aonekane bado kijana?! Lete ushahidi.
Kamuulize wewe kwa nini amepunguza miaka? Huyu rekodi zake zipo serikalini amezaliwa 1938.
 
Lete hizo rekodi hapa.! Umri unaotambulika huko serikalini hata ukiangalia mitandaoni Mzee Wasira kazaliwa tarehe 1 July 1945.
Sasa wewe unayesema kazaliwa 1938 Lete ushahidi wako!.
 
Makamu Mwenyekiti wa CCM Mzee Wassira amesema madaktari wanasema yuko Fiti, Yeye mwenyewe hawezi kujua lakini madaktari wanasema yuko Fiti

Wassira alikuwa akiongea na Waandishi wa Clouds media na kusisitiza " nyie Wenyewe mmenikuta Niko hapa nawasubiri hii maana yake Niko vizuri sana"

View attachment 3236439

Source Clouds media
Huyu Kasongo hana akili kabisa.
 
Lete hizo rekodi hapa.! Umri unaotambulika huko serikalini hata ukiangalia mitandaoni Mzee Wasira kazaliwa tarehe 1 July 1945.
Sasa wewe unayesema kazaliwa 1938 Lete ushahidi wako!.
Unataka niweke nyaraka za serikali hapa? Wewe amini unavyoamini lakini Kasongo umri wake ni miaka 87. Mnafannya mzee wa watu kama msukule, watu wabaya sana nyie
 
Makamu Mwenyekiti wa CCM Mzee Wassira amesema madaktari wanasema yuko Fiti, Yeye mwenyewe hawezi kujua lakini madaktari wanasema yuko Fiti

Wassira alikuwa akiongea na Waandishi wa Clouds media na kusisitiza " nyie Wenyewe mmenikuta Niko hapa nawasubiri hii maana yake Niko vizuri sana"

View attachment 3236439

Source Clouds media
Mentally haupo fit dingiii. Umeshazeeka.
 
Unataka niweke nyaraka za serikali hapa? Wewe amini unavyoamini lakini Kasongo umri wake ni miaka 87. Mnafannya mzee wa watu kama msukule, watu wabaya sana nyie
Wewe uwe na nyaraka za serikali kama nani?! Na nyaraka zenyewe ziwe zinazungumzia habari za watu wazito sana katika taifa letu kama Mzee Wasira?!
Ninachojua ni kwamba wapinzani hasa chadema mnamuogopa sana mzee Wasira!
Mkisikia jina lake tu mnachanganyikiwa kwa kujua kwamba CCM wamempa nafasi kiongozi shupavu, meerevu, mwenye uzoefu wa muda mrefu kiasi kwamba HAKUNA KITU HAJUI KUHUSU NCHI YA TANZANIA NA SIASA ZAKE!.
Hilo limewachanganya HADI MUMESAHAU SERA ZENU na sasa imekuwa mkiamka asubuhi hakuna habari zaidi ya Mzee Wasira!
Ikifika mchana ni Mzee Wasira!
Jioni ni Mzee Wasira! Mkitaka kulala basi sala ya kulala ni jina la Mzee Wasira!
Sasa je ni kweli chadema kwa Sasa HAMNA SERA NYINGINE TOFAUTI NA UMRI WA MZEE WASIRA ?!
 
Hatukumuogopa Magufuli tuogope huo msukule muda wote umelala na kububujisha udenda tu? Umesikia viongozi wa Chadema wanamzungumzia huyo Kasongo? Huyo ni takataka tu.
 
Makamu Mwenyekiti wa CCM Mzee Wassira amesema madaktari wanasema yuko Fiti, Yeye mwenyewe hawezi kujua lakini madaktari wanasema yuko Fiti

Wassira alikuwa akiongea na Waandishi wa Clouds media na kusisitiza " nyie Wenyewe mmenikuta Niko hapa nawasubiri hii maana yake Niko vizuri sana"

View attachment 3236439

Source Clouds media
Hata sura tu inaonesha yupo vizuri.
 
Kwan nn huyu Babu analala jukwaani na hata bungeni alkua na tatzo la usingiz muda mrefu??
ukiona mtu anapata usingizi popote ujue amani imemtawala,

ukiangalia mtu kama kiongozi msaidizi wa chadema sijui anaitwa Joni kicheche anapata usingizi kweli?

anaonekana kama ana stress za kubeti na maisha, huenda hapati usingizi kabisa šŸ’
 
Back
Top Bottom