Wewe uwe na nyaraka za serikali kama nani?! Na nyaraka zenyewe ziwe zinazungumzia habari za watu wazito sana katika taifa letu kama Mzee Wasira?!
Ninachojua ni kwamba wapinzani hasa chadema mnamuogopa sana mzee Wasira!
Mkisikia jina lake tu mnachanganyikiwa kwa kujua kwamba CCM wamempa nafasi kiongozi shupavu, meerevu, mwenye uzoefu wa muda mrefu kiasi kwamba HAKUNA KITU HAJUI KUHUSU NCHI YA TANZANIA NA SIASA ZAKE!.
Hilo limewachanganya HADI MUMESAHAU SERA ZENU na sasa imekuwa mkiamka asubuhi hakuna habari zaidi ya Mzee Wasira!
Ikifika mchana ni Mzee Wasira!
Jioni ni Mzee Wasira! Mkitaka kulala basi sala ya kulala ni jina la Mzee Wasira!
Sasa je ni kweli chadema kwa Sasa HAMNA SERA NYINGINE TOFAUTI NA UMRI WA MZEE WASIRA ?!