Mzee Wassira unatuaibisha Mkoa wa Mara kwa Unafiki, Kutumika na Propaganda za Kipuuzi

Mzee pumzika sasa hili la DP World linakuabisha na kukuvua kabisa Nguo kwa Unavyolitetea hovyo.

Afadhali sasa umejua mkataba wao ni wa kihuni maana mwanzo uliwatetea ukijua watarekebisha lakini hua hawasikii hao, mkoa wa Mara ni mkoa wenye heshima yake tena wenye wanaume wenye msimamo, tunapoona Mzee wenu Wassira anajiaibisha kisa viposho vidogodogo tunamshangaa
 
Mzee pumzika sasa hili la DP World linakuabisha na kukuvua kabisa Nguo kwa Unavyolitetea hovyo.
Huyu kinachomsumbua ni Tamaa hapo hapo anataka heshima , niliwahi kusema .tamaa na heshima HAVIKAI pamoja , si ana jengo nyuma ya stend atulie . Mtu serikali zote kapiga chapuo .duuuu anatia aibu c ana mke na watoto si wamwambie aache
 
Yaani anatia aibu sana haoni wazee wenzake wamekaa tu kimya wanatazama chama kimfie huyu mama ambae in reality HANA CHA KUPOTEZA coz hata kukipigania tu chama HAJAWAHI!
 
huyuu mzee sijui anataka nini tena ukisikia mijitu milafi ndio hawa akina wasira, anafikiri akifa ataenda na mali.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…