PakiJinja
JF-Expert Member
- Jan 16, 2012
- 11,689
- 25,848
Mzee ukiitafuta hoja yake hauioni, sanasana unamuona anadunda tu kama kitenesiš, .Mzee pumzika sasa, hili la DP World linakuabisha na kukuvua kabisa nguo kwa unavyolitetea hovyo.
Jinsi CCM walivyo wauaji watamfuata na kuanza kumsifu na kumjaza maujinga kuwa mzee ni noma, amemwaga 'mapwenti' matupu.