TANZIA Mzee William Mbunga mwandishi wa habari mkongwe afariki dunia

Yani sisi hatuna mtu aliyegundua hata kifaa kimoja cha bicycle? Yani ni mwendo wa siasa kama .....::
 
President of Zanzibar is at far right of the picture
 
Huyo sijamsoma, labda utuambie wewe habari zake.
Huyu mzee anasema yeye ndiye aliyeandika azimio la Arusha .Anasema aliandika na barua ya kukiomba chama kimteue agombee uraisi dhidi ya Nyerere.Huyo alikuwa msomi na mtaalamu wa sheria za kimila kama unavyojua sheria za kimila na sheria za kiislamu toka 1963 ni sehemu ya sheria za nchi hivyo kama mtaalamu alisaidia sana nchi eneo hilo.Anasema baada ya Nyerere kuanzisha sera za ujamaa ambazo yeye aliziasisi akaamua kuachana na ndoto za urais kwani aliyotaka kuyafanya ndo yalikuwa yanafanywa na Nyerere.Haya siyo yangu ni kwa mujibu wa yeye mwenyewe Rwizandekwe kama alivyohojiwa na waandishi mbalimbali,hivyo sina uhalali wa kupigwa mawe.
 
Hapana, huyo ni marehemu Mangi wa wachaga marehemu Petro Itosi Marealle! Hawa warundi wakina Jiwe wanakula wasivyopanda, sisi wachaga tulimbeba sana Nyerere katika harakati za kupata uhuru wa nchi hii!!
Hafu kuna limtu lizima linaitwa jah people linampigia chapuo kule bungeni ati aongezewe muda urais usiwe na kikomo.

Tufunge na kuomba ndugu zangu,wasifanikiwe huo mpango wao.
 
Ingependeza zaidi kama wanazuoni wangemuandika, na si yeye kujisema mwenyewe.

Kila mtu anaweza kujisifu, lakini kitu cha maana zaidi ni kusifiwa na watu wengine.
 
Hafu kuna limtu lizima linaitwa jah people linampigia chapuo kule bungeni ati aongezewe muda urais usiwe na kikomo.

Tufunge na kuomba ndugu zangu,wasifanikiwe huo mpango wao.
Nyerere alitoa hotuba moja akaongelea suala la kuongezewa muda rais, kwa mfano mzuri sana.

Alisema, yeye alitaka kuacha urais kipinfi kirefu, tangu miaka ya sabini huko.

Kila alivyotaka kujiuzulu, baadhi ya wasaidizi wake wakawa wanamfuata na kumuomba asijiuzulu, wakisema nchi inamuhitaji, kuna tatizo hili na lile kubwa, huu si wakati mzuri.

Akawa anakubali kuendelea.

Miaka mitano tena, anataka kujiuzulu, anapewa pingamizi hivyo hivyo. Anawakubalia.

Mwaka 1980 wakamwambia hivyo hivyo. Na muda ule tumetoka kwenye vita, akaendelea.

Aliposema anataka kujiuzulu 1985, wakaja na pingamizi, akaanza kujiuliza.

Hawa watu wanataka niendelee kuwa rais kwa maslahi ya nani? Maslahi ya umma au maslahi yao?

Akaja kugundua wengi walihofia Nyerere akiondoka, rais mpya akija atawapangua. Walimtaka aendelee kuwa rais kwa manufaa yao binafsi.

Haya mambo mpaka leo yanaendelea. Kuna watu wanataka Magufuli aendelee kuwa rais kwa manufaa yao, si manufaa ya nchi.
 
Well said mkuu.true.
 
Sir God ameamua kutumbua nafasi za uteuzi, ila siku sio nyingi tutasikia nyimbo za maombolezo na bendera nusu mlingoti.

Covid hana baunsa, kila anaekaa vibaya anakula za uso.
Kama Maalim Seif na mkewe walipata COVID-!9 na Maalim alikuwa na mikutano mingi tu na hao viongozi wengine,je hudhani kuwa kuna kila sababu ya kuhisi kuwa hao aliokuwa anakutana nao i wameambukizwa haya maradhi? Kuna haja ya kufanya CONTACT TRACING ili tujue wakina nai wameambukizwa!!
 
Karume was there.Look the left of the man standing clapping hands in creamy suit.My questions all of the people there where are they now i know they must be old if still living.Nyerere,Kawawa,Karume,Mangi Marealle we know have gone forth before the throne how about those ladies and two men holding the pot with sand from Kilimanjaro mountain mixed with sand from Zanzibari this is momentous historic event.
 
Ahsante sana kwa hii taarifa kumbe tuliungana kwanza ndio maadhimisho mwaka mmoja baadae wakachanganya udongo
 
na watu pia waelewe uraisi sio kazi ya ki spot spot ni ngumu mno.Hata Nyerere alivyoacha tu uraisi afya yake iliimarika kidogo.Kila janga la kitaifa likitokea njaa,magonjwa,ajali ni mzigo wa raisi.Pamoja na kuwa ni kuvunja katiba na kuweka kiraka hata mkuu wetu hapendi kabisa msilazimishe.Hata upendwe namna gani wako watakupinga tu.YESU na mazuri aliyowaletea binadamu lakini bado walimsulubu.Ronald Reagan wa Marekani alikuwa mbabe alimpiga bomu Ghadaf karibia amuue kwenye hema lake akafa mtoto wake wa kuasili na wamerekani walivyo waoga wakajiwa na wazo la kutaka aongezewe muda kipindi cha tatu lakini alikataa kwa kuona katiba izingatiwe.Raisi wa kwanza wa Marekani George Washington alitawala kipindi kimoja tu na aliombwa atawale kingine akafikiria sana na vile alivyokuwa generali wa jeshi akafikiria mustakabali wa watu wa taifa lake miaka ijayo kuwa angeendelea ungezuka mtindo wa wanaofuata kujiongezea muda.Na ndio maana nchini Marekani wanaheshimu sana neno ukomo wa uraisi.
 
Hayo maswali niliwahi kujiulizs sana toka utotoni lakini hadi leo sijapata majibu. Au ndo mwishow chumbe?
 
Poleni familia kwa msiba.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…