hivi mungu yupi yuko karibu na taarab?Kwa hiyo mungu wako wewe anapenda muziki wa taarabu uliojaa masimango na matusi kumbee,,una mungu mlevi na muhuni wewe
Ni unafiki uliopitiliza..toba ya kweli ni kuuza mali zote alizochuma kwenye dhambi na pesa awape maskini halafu aanze moja. Sio anatumia majumba na magari ya taarab halafu anataka mwenzake aache
Mambo ya imani ya mtu siyo vizuri kuyabezakwani peponi wanabebana .. amuache atakapo ona umuhimu wa kuacha ataacha mwenyewe..kwani mzee yusufu nani alikusgurutisha kuacha?
Taarabu sio matusi wala masimago ni burudani kama kaswida.Kwa hiyo Mungu wa Kiarabu(Allah)anaetaka kaswida ni mhuni? Au sio mhuni kwa sababu kaswida inatokana na kabila lake Mungu la Kiarabu?Kwa hiyo mungu wako wewe anapenda muziki wa taarabu uliojaa masimango na matusi kumbee,,una mungu mlevi na muhuni wewe
Ila Mungu wa Kiarabu(Allah) alieshindwa kabisa kuwatunuku elimu Waislamu kwa sasa siku ya ufufuo atakuwa na uwezo mwingine wa kuwatunuku elimu na wale wenye Mungu wa kizungu watageuziwa kibao na wao wawe wajinga.We nadhani mungu lbilisi anayewafundisha wazungu kutengeneza vitu vya muda hapa duniani na wakifa wanaviacha hapa hapa duniani na havitawasaidia huko mbiguni
Ila Mungu wa Kiarabu(Allah) alieshindwa kabisa kuwatunuku elimu Waislamu kwa sasa siku ya ufufuo atakuwa na uwezo mwingineWe nadhani mungu lbilisi anayewafundisha wazungu kutengeneza vitu vya muda hapa duniani na wakifa wanaviacha hapa hapa duniani na havitawasaidia huko mbiguni
Astaghafir kichwa chako itakuwa kina tatizo wewHeri mzungu wa nepi amewazesha wawe na akili ya kuitawala dunia kisayansi,kiuchumi na kiteknolojia kuliko huyu Mungu wa Kiarabu(Allah) ambae ameshindwa kabisa kuwawezesha Waarabu na waislamu kielimu na matokea yake wamekuwa wa mwisho duniani kwa ujinga kwani hata ule uwezo wa kutengeneza hata pini tu ya kufungia bambasi hawawezi katu!!.
Acheni kulitaja hilo jina la Allah (Mungu) kwenye mambo yasiyokuwa na msingi tuwe na mipaka sio kila kitu ni chakufanyia masiharaIla Mungu wa Kiarabu(Allah) alieshindwa kabisa kuwatunuku elimu Waislamu kwa sasa siku ya ufufuo atakuwa na uwezo mwingine wa kuwatunuku elimu na wale wenye Mungu wa kizungu watageuziwa kibao na wao wawe wajinga.
Ila Mungu wa Kiarabu(Allah) alieshindwa kabisa kuwatunuku elimu Waislamu kwa sasa siku ya ufufuo atakuwa na uwezo mwingine
kweli?Namtaka leo kesho yule bibie, nangoja amwache tu maana sipendagi walio kwenye ndoa zao!!
Wallah Leyla ni bora achukue Talaka yake, Hadija na Familia yao wanaonekana ni waswahili sana, Tayari ameshaanza kutunishiana misuli na Leyla kama kawaida yake na lijimwili lake kama Chura anayejifunza kusimama nyoookwani peponi wanabebana .. amuache atakapo ona umuhimu wa kuacha ataacha mwenyewe..kwani mzee yusufu nani alikusgurutisha kuacha?
Aliyekuwa nguli wa muziki wa Taarabu nchini Mzee Yusufu inadaiwa na dada yake kuwa atampa mkewe talaka baada ya kugoma kuacha kufanya muziki wa taarabu na kumrudia mungu kama mumewe alivyofanya. maana sheria za dini ya kiislam zinataka mume akifanya jambo na mke amfuate
Mzee Yusuph afanye afanyavyo Moto haukwepi, tangu angali dagaa alifunzwa dini na mienendo ipasayo kwa makusudi aliamua kuchepuka na kumchukiza M/Mungu majukwaani, kwaiyo amuache Leyla nae aamue kama alivyoamua yeye ila ukweli ni kua Nyimbo zake zitamuhukumu Mbele ya Allah maana hata asipopanda jukwaani kuimba bado Dar live sauti yake itapambisha ukumbi na watu watafanya Mahasi kwa kuhamasishwa na maneno yakejapo kwamba peponi hawabebani bado hiyo sio sabab ya kumwacha mke apotee akiwa mikonon mwako
Pia maandiko yanatuambia kuwa kila mchunga ataulizwa alichungaje kondoo wake na elewa kuwa kwa mwanume mke na watoto ni kondoo wake ambao yampasa awachunge vema maana atawajibika kwa matendo yao ndio maana pia dini inatuambia kuwa waweza kuwa mtu wa sala masaa 24 ila wakuzungukao mf mke,watoto wanaeza kukufanya ukakosa pepo na ukaishia motoni!,
Masharti ya mganga yanacost
Huyo anayemwambia yeye haogopi dhamvi. Aache unaaa.japo kwamba peponi hawabebani bado hiyo sio sabab ya kumwacha mke apotee akiwa mikonon mwako
Pia maandiko yanatuambia kuwa kila mchunga ataulizwa alichungaje kondoo wake na elewa kuwa kwa mwanume mke na watoto ni kondoo wake ambao yampasa awachunge vema maana atawajibika kwa matendo yao ndio maana pia dini inatuambia kuwa waweza kuwa mtu wa sala masaa 24 ila wakuzungukao mf mke,watoto wanaeza kukufanya ukakosa pepo na ukaishia motoni!,
Ww unafikiria kwa kutumia spinal cord kabisa, kwa hiyo mungu wako wa kiafrikA anaitwa yesu na wakizungu anaitwa Jesus et, kama huelewi misingi ya dini ya mwenzio sio lazima uchangieMungu wa Kiarabu(Allah) hapendi binadamu apate raha au burudani.Mzee Yusuph yeye alishurutishwa na nani kuacha burudani?? Kama anamwacha mkewe kwa sababu ambazo hazina msingi aone jinsi mwanamke huyo atakavyogombewa kama mpira wa kona,kabla hata hajaandika hata talaka yenyewe watu watajibebea mzigo kiulaini na kuuficha ndani.Halafu aone atakavyoanza kuweweseka.
Leyla mzuri sana huyo akiachwa tu wazee wanamuinamia.Mzee Yusuf atakuwa amepatwa na ukanye west sio bure illuminant wa kibongobongo wanamcontrol....kwisha kaziDuu sijui ni nini kimempata huyu jamaa ..sina tatizo na yeye kumrudia Mungu ila hadi unamwacha mkeo ?
Ni mwanamke yupi kwanza anataka kumwacha kama ni yule mtoto wa kimanga Leila amwache tu tena kwa talaka tatu halafu watu wamuinukie wima
Huyu Leyla Ana akili timamu hivyo tusimuhukumu, je mnataka na yeye aje atoe mapungufu ya mumewe mitandaoni? Kwanza kavumilia mangapi? Jamaa mwenyewe hapishi chambo wa nini? Amwache wenzie wanamsubiriMnaomtetea huyo mwanamama em'jaribuni kama wanaume kuvivaa viatu vya mumewe...kwamba wangapi mpo tayari wake zenu warudi majumbani mwenu saa10 alfajiri kutoka kuimba huku ndani mna familia?watoto kuwaandaa shule asubuhi na mengineyo?!jamii inayokuzunguka itakuchukuliaje?sio kuwa mwanamuziki tu mkeo hata akiwa mnywa pombe ni mt'hani kweli kweli huyo mwanamama akikataa kufanya anachokitaka mumewe ampe tu talaka akafie mbali maisha ya mke na mume kuheshimiana sio tofauti na hivyo!
Achana naye yake yamemshinda kabaki kuwa msemaji wa kaka yake hovyoNilishasemaga mimi..sitokuja kuolewa na mwanaume mwenye gubu kama hili milele[emoji46]!
Mawifi wanagubu sijawahi kuona[emoji35]...sasa huyo Khadija sijui anataka kuolewa na kaka yake?!
Mbona wewe ni giza totoro huelewi misingi ya Mungu wa Kiarabu(Allah) na misingi ya dini ya wenzako na huku unachangia mawazo?Ww unafikiria kwa kutumia spinal cord kabisa, kwa hiyo mungu wako wa kiafrikA anaitwa yesu na wakizungu anaitwa Jesus et, kama huelewi misingi ya dini ya mwenzio sio lazima uchangie