Wakati wanarudi usiku wote na mumewe watoto walikuwa hawasitahili malezi? ILa baada ya kuchumia wote kwenye dhambi hadi usiku wa manane ndio sasa watoto wanastahili malezi bora? Mzee Yusuph katosheka na utajiri uliotokana na kuimba taarabu ila mkewe bado anatafuta utajiri kwa sababu na yeye ana haki sawa kuwa tajiri kama mumewe.Huyu Leyla Ana akili timamu hivyo tusimuhukumu, je mnataka na yeye aje atoe mapungufu ya mumewe mitandaoni? Kwanza kavumilia mangapi? Jamaa mwenyewe hapishi chambo wa nini? Amwache wenzie wanamsubiri