Mzee Yusufu kumtema mkewe baada ya kugoma kuacha kuimba taarabu kama alivyofanya

Huyu Leyla Ana akili timamu hivyo tusimuhukumu, je mnataka na yeye aje atoe mapungufu ya mumewe mitandaoni? Kwanza kavumilia mangapi? Jamaa mwenyewe hapishi chambo wa nini? Amwache wenzie wanamsubiri
Wakati wanarudi usiku wote na mumewe watoto walikuwa hawasitahili malezi? ILa baada ya kuchumia wote kwenye dhambi hadi usiku wa manane ndio sasa watoto wanastahili malezi bora? Mzee Yusuph katosheka na utajiri uliotokana na kuimba taarabu ila mkewe bado anatafuta utajiri kwa sababu na yeye ana haki sawa kuwa tajiri kama mumewe.
 
Mzee Yusuph afanye afanyavyo Moto haukwepi, tangu angali dagaa alifunzwa dini na mienendo ipasayo kwa makusudi aliamua kuchepuka na kumchukiza M/Mungu majukwaani, kwaiyo amuache Leyla nae aamue kama alivyoamua yeye ila ukweli ni kua Nyimbo zake zitamuhukumu Mbele ya Allah maana hata asipopanda jukwaani kuimba bado Dar live sauti yake itapambisha ukumbi na watu watafanya Mahasi kwa kuhamasishwa na maneno yake
Lady Aj,rekebisha kwanza kiswahili chako ungeandika "Maasi"na sio mahasi,pia ungeandika "Kwa hiyo"na sio kwaiyo na mwisho ni "Kwa kuwa"na sio kwa kua.

Mama akikuacha vijana wapo na Mimi nipo nitakutunza kama anazingua au amefilisika huyoo na hizo pesa alizopata na Mali haramu kutokana na Mziki amezigawa au bado anazitumia.alikwenda Kuiji kwa kutumia pesa haramu zilizotokana na Mziki Leo anasahau yote hayo.ya MUNGU MKUU mpe yake na Dunia mpe dunia
 
Mbona wewe ni giza totoro huelewi misingi ya Mungu wa Kiarabu(Allah) na misingi ya dini ya wenzako na huku unachangia mawazo?
Unaona sasa hata uelewa wako zero, sasa unaona hapo kuna wazo, me nakuasa ww uache mawazo potofu kua mungu ni mmoja tu hakuna mungu wa mwarabu wala wa kwako shame on you, kwel Mama ndalichako ana kazi kwa watu kama nyie
 
Lady Aj,rekebisha kwanza kiswahili chako ungeandika "Maasi"na sio mahasi,pia ungeandika "Kwa hiyo"na sio kwaiyo na mwisho ni "Kwa kuwa"na sio kwa kua.
Kiswahili changu kinakupunguzia nn wewe nyang'au? Umeelewa hukuelewa? Any way sio lazima uelewe wewe
 
kwani peponi wanabebana .. amuache atakapo ona umuhimu wa kuacha ataacha mwenyewe..kwani mzee yusufu nani alikusgurutisha kuacha?
Woga wake wa kuogopa visivyoonekana baada ya kutuhumiwa kuwaroga waimbaji wengine kwa muda mrefu ndio kumemfanya ajifanye kaokoka, amwache mwenzie ataamua mwenyewe kama ni peponi kila mtu atakwenda au asiende kwa style yake.
 
Mungu wa Kiarabu(Allah) hapendi binadamu apate raha au burudani.Mzee Yusuph yeye alishurutishwa na nani kuacha burudani?? Kama anamwacha mkewe kwa sababu ambazo hazina msingi aone jinsi mwanamke huyo atakavyogombewa kama mpira wa kona,kabla hata hajaandika hata talaka yenyewe watu watajibebea mzigo kiulaini na kuuficha ndani.Halafu aone atakavyoanza kuweweseka.
daaahh waafrika tunasafar ndefu sana...yan unadhihaki dini ya mwenzio et Mungu wa kiarabu wakat hta wewe uliletewa na wazungu....!!! una IQ ndogo sana mjomba
 
Unaona sasa hata uelewa wako zero, sasa unaona hapo kuna wazo, me nakuasa ww uache mawazo potofu kua mungu ni mmoja tu hakuna mungu wa mwarabu wala wa kwako shame on you, kwel Mama ndalichako ana kazi kwa watu kama nyie
Ni kweli kabisa Mungu wa Kiarabu(Allah)ni mmoja tu,kama unamwabudu huyo ni sawa ni mpango wako.
Lady Aj,rekebisha kwanza kiswahili chako ungeandika "Maasi"na sio mahasi,pia ungeandika "Kwa hiyo"na sio kwaiyo na mwisho ni "Kwa kuwa"na sio kwa kua.
 
Kiswahili changu kinakupunguzia nn wewe nyang'au? Umeelewa hukuelewa? Any way sio lazima uelewe wewe
Unaharibu lugha ya Taifa kwa sababu gani? Au umesoma madrasa peke yake,jiandikishe elimu ya watoto wakubwa (MEMUKWA) ili ukuze lugha yako ili usiwe unachapia ovyo.
 
Hata hiyo madrasa yangu ni elimu tosha kukupita yako wewe unayeandika MEMUKWA badala ya MEMKWA [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Unaharibu lugha ya Taifa kwa sababu gani? Au umesoma madrasa peke yake,jiandikishe elimu ya watoto wakubwa (MEMUKWA) ili ukuze lugha yako ili usiwe unachapia ovyo.
Kumbe unaijua vizuri ni MEMKWA mimi nilishaanza kuisahau,komaa nayo vizuri ili angalau ujue hata kiswahili cha kuombea ugali.
 
toba ya kweli ni kuuza mali zote alizochuma kwenye dhambi na pesa awape maskini halafu aanze moja. Sio anatumia majumba na magari ya taarab halafu anataka mwenzake aache
Kweli mkuu, huyu ni mnafiki tu kwanza hajaomba msamahaa jinsi alivyochochea ushoga kwa nyimbo zake.
 
Taarabu sio matusi wala masimago ni burudani kama kaswida.Kwa hiyo Mungu wa Kiarabu(Allah)anaetaka kaswida ni mhuni? Au sio mhuni kwa sababu kaswida inatokana na kabila lake Mungu la Kiarabu?
kaswida na taarabu ni kitu kimoja
 
Huyo Khadija anaongea kwa husda. Kuwa na wifi wa hivyo inataka ujasiri sana.
Anashindana na Leyla kama mke mwenzake!
 
Mungu wa Kiarabu(Allah) hapendi binadamu apate raha au burudani.Mzee Yusuph yeye alishurutishwa na nani kuacha burudani?? Kama anamwacha mkewe kwa sababu ambazo hazina msingi aone jinsi mwanamke huyo atakavyogombewa kama mpira wa kona,kabla hata hajaandika hata talaka yenyewe watu watajibebea mzigo kiulaini na kuuficha ndani.Halafu aone atakavyoanza kuweweseka.
Ukishakuwa kafiri na uwezo wa kufikiri unapungua sana ,isipokuwa wachache sana
 
Back
Top Bottom