Mzee Yusufu kumtema mkewe baada ya kugoma kuacha kuimba taarabu kama alivyofanya

Mzee Yusufu kumtema mkewe baada ya kugoma kuacha kuimba taarabu kama alivyofanya

toba ya kweli ni kuuza mali zote alizochuma kwenye dhambi na pesa awape maskini halafu aanze moja. Sio anatumia majumba na magari ya taarab halafu anataka mwenzake aache
 
toba ya kweli ni kuuza mali zote alizochuma kwenye dhambi na pesa awape maskini halafu aanze moja. Sio anatumia majumba na magari ya taarab halafu anataka mwenzake aache
Ni unafiki uliopitiliza..
 
Kwa hiyo mungu wako wewe anapenda muziki wa taarabu uliojaa masimango na matusi kumbee,,una mungu mlevi na muhuni wewe
Taarabu sio matusi wala masimago ni burudani kama kaswida.Kwa hiyo Mungu wa Kiarabu(Allah)anaetaka kaswida ni mhuni? Au sio mhuni kwa sababu kaswida inatokana na kabila lake Mungu la Kiarabu?
 
We nadhani mungu lbilisi anayewafundisha wazungu kutengeneza vitu vya muda hapa duniani na wakifa wanaviacha hapa hapa duniani na havitawasaidia huko mbiguni
Ila Mungu wa Kiarabu(Allah) alieshindwa kabisa kuwatunuku elimu Waislamu kwa sasa siku ya ufufuo atakuwa na uwezo mwingine wa kuwatunuku elimu na wale wenye Mungu wa kizungu watageuziwa kibao na wao wawe wajinga.
We nadhani mungu lbilisi anayewafundisha wazungu kutengeneza vitu vya muda hapa duniani na wakifa wanaviacha hapa hapa duniani na havitawasaidia huko mbiguni
Ila Mungu wa Kiarabu(Allah) alieshindwa kabisa kuwatunuku elimu Waislamu kwa sasa siku ya ufufuo atakuwa na uwezo mwingine
 
Heri mzungu wa nepi amewazesha wawe na akili ya kuitawala dunia kisayansi,kiuchumi na kiteknolojia kuliko huyu Mungu wa Kiarabu(Allah) ambae ameshindwa kabisa kuwawezesha Waarabu na waislamu kielimu na matokea yake wamekuwa wa mwisho duniani kwa ujinga kwani hata ule uwezo wa kutengeneza hata pini tu ya kufungia bambasi hawawezi katu!!.
Astaghafir kichwa chako itakuwa kina tatizo wew
 
Ila Mungu wa Kiarabu(Allah) alieshindwa kabisa kuwatunuku elimu Waislamu kwa sasa siku ya ufufuo atakuwa na uwezo mwingine wa kuwatunuku elimu na wale wenye Mungu wa kizungu watageuziwa kibao na wao wawe wajinga.

Ila Mungu wa Kiarabu(Allah) alieshindwa kabisa kuwatunuku elimu Waislamu kwa sasa siku ya ufufuo atakuwa na uwezo mwingine
Acheni kulitaja hilo jina la Allah (Mungu) kwenye mambo yasiyokuwa na msingi tuwe na mipaka sio kila kitu ni chakufanyia masihara
 
kwani peponi wanabebana .. amuache atakapo ona umuhimu wa kuacha ataacha mwenyewe..kwani mzee yusufu nani alikusgurutisha kuacha?
Wallah Leyla ni bora achukue Talaka yake, Hadija na Familia yao wanaonekana ni waswahili sana, Tayari ameshaanza kutunishiana misuli na Leyla kama kawaida yake na lijimwili lake kama Chura anayejifunza kusimama nyooo
Aliyekuwa nguli wa muziki wa Taarabu nchini Mzee Yusufu inadaiwa na dada yake kuwa atampa mkewe talaka baada ya kugoma kuacha kufanya muziki wa taarabu na kumrudia mungu kama mumewe alivyofanya. maana sheria za dini ya kiislam zinataka mume akifanya jambo na mke amfuate
 
japo kwamba peponi hawabebani bado hiyo sio sabab ya kumwacha mke apotee akiwa mikonon mwako

Pia maandiko yanatuambia kuwa kila mchunga ataulizwa alichungaje kondoo wake na elewa kuwa kwa mwanume mke na watoto ni kondoo wake ambao yampasa awachunge vema maana atawajibika kwa matendo yao ndio maana pia dini inatuambia kuwa waweza kuwa mtu wa sala masaa 24 ila wakuzungukao mf mke,watoto wanaeza kukufanya ukakosa pepo na ukaishia motoni!,
Mzee Yusuph afanye afanyavyo Moto haukwepi, tangu angali dagaa alifunzwa dini na mienendo ipasayo kwa makusudi aliamua kuchepuka na kumchukiza M/Mungu majukwaani, kwaiyo amuache Leyla nae aamue kama alivyoamua yeye ila ukweli ni kua Nyimbo zake zitamuhukumu Mbele ya Allah maana hata asipopanda jukwaani kuimba bado Dar live sauti yake itapambisha ukumbi na watu watafanya Mahasi kwa kuhamasishwa na maneno yake
 
japo kwamba peponi hawabebani bado hiyo sio sabab ya kumwacha mke apotee akiwa mikonon mwako

Pia maandiko yanatuambia kuwa kila mchunga ataulizwa alichungaje kondoo wake na elewa kuwa kwa mwanume mke na watoto ni kondoo wake ambao yampasa awachunge vema maana atawajibika kwa matendo yao ndio maana pia dini inatuambia kuwa waweza kuwa mtu wa sala masaa 24 ila wakuzungukao mf mke,watoto wanaeza kukufanya ukakosa pepo na ukaishia motoni!,
Huyo anayemwambia yeye haogopi dhamvi. Aache unaaa.
 
Mungu wa Kiarabu(Allah) hapendi binadamu apate raha au burudani.Mzee Yusuph yeye alishurutishwa na nani kuacha burudani?? Kama anamwacha mkewe kwa sababu ambazo hazina msingi aone jinsi mwanamke huyo atakavyogombewa kama mpira wa kona,kabla hata hajaandika hata talaka yenyewe watu watajibebea mzigo kiulaini na kuuficha ndani.Halafu aone atakavyoanza kuweweseka.
Ww unafikiria kwa kutumia spinal cord kabisa, kwa hiyo mungu wako wa kiafrikA anaitwa yesu na wakizungu anaitwa Jesus et, kama huelewi misingi ya dini ya mwenzio sio lazima uchangie
 
Duu sijui ni nini kimempata huyu jamaa ..sina tatizo na yeye kumrudia Mungu ila hadi unamwacha mkeo ?
Ni mwanamke yupi kwanza anataka kumwacha kama ni yule mtoto wa kimanga Leila amwache tu tena kwa talaka tatu halafu watu wamuinukie wima
Leyla mzuri sana huyo akiachwa tu wazee wanamuinamia.Mzee Yusuf atakuwa amepatwa na ukanye west sio bure illuminant wa kibongobongo wanamcontrol....kwisha kazi
 
Mnaomtetea huyo mwanamama em'jaribuni kama wanaume kuvivaa viatu vya mumewe...kwamba wangapi mpo tayari wake zenu warudi majumbani mwenu saa10 alfajiri kutoka kuimba huku ndani mna familia?watoto kuwaandaa shule asubuhi na mengineyo?!jamii inayokuzunguka itakuchukuliaje?sio kuwa mwanamuziki tu mkeo hata akiwa mnywa pombe ni mt'hani kweli kweli huyo mwanamama akikataa kufanya anachokitaka mumewe ampe tu talaka akafie mbali maisha ya mke na mume kuheshimiana sio tofauti na hivyo!
Huyu Leyla Ana akili timamu hivyo tusimuhukumu, je mnataka na yeye aje atoe mapungufu ya mumewe mitandaoni? Kwanza kavumilia mangapi? Jamaa mwenyewe hapishi chambo wa nini? Amwache wenzie wanamsubiri
 
Nilishasemaga mimi..sitokuja kuolewa na mwanaume mwenye gubu kama hili milele[emoji46]!

Mawifi wanagubu sijawahi kuona[emoji35]...sasa huyo Khadija sijui anataka kuolewa na kaka yake?!
Achana naye yake yamemshinda kabaki kuwa msemaji wa kaka yake hovyo
 
Ww unafikiria kwa kutumia spinal cord kabisa, kwa hiyo mungu wako wa kiafrikA anaitwa yesu na wakizungu anaitwa Jesus et, kama huelewi misingi ya dini ya mwenzio sio lazima uchangie
Mbona wewe ni giza totoro huelewi misingi ya Mungu wa Kiarabu(Allah) na misingi ya dini ya wenzako na huku unachangia mawazo?
 
Back
Top Bottom