Mzee Yusufu kumtema mkewe baada ya kugoma kuacha kuimba taarabu kama alivyofanya

Mzee Yusufu kumtema mkewe baada ya kugoma kuacha kuimba taarabu kama alivyofanya

Yeye alipoamua kugeuza kibao hawakushauriana na familia yake? Au alukurupuka tu? Au walimkatalia akaamua kuingia peke yake?
 
Huyu naye wivu tu unamsumbua anajua wanayofanyaga kwenye shoo za usiku
 
Mnaomtetea huyo mwanamama em'jaribuni kama wanaume kuvivaa viatu vya mumewe...kwamba wangapi mpo tayari wake zenu warudi majumbani mwenu saa10 alfajiri kutoka kuimba huku ndani mna familia?watoto kuwaandaa shule asubuhi na mengineyo?!jamii inayokuzunguka itakuchukuliaje?sio kuwa mwanamuziki tu mkeo hata akiwa mnywa pombe ni mt'hani kweli kweli huyo mwanamama akikataa kufanya anachokitaka mumewe ampe tu talaka akafie mbali maisha ya mke na mume kuheshimiana sio tofauti na hivyo!
 
Wake wa mzee yusuph
56a9d38216ac30f9a59805f7c1d6e99e.jpg
99d532f45e18ab7287e44ef2bf7e7be7.jpg
 
Nasikia wanaume wakifa wanapewa wanawake malaika 70, sasa wanawake je nao wanapewa malaika wangapi? Mi nafikiri hata wakipewa 5 tu shughuli yake si mchezo!
 
Huyu naye asituzingue. Lolote analolifanya sasa linamchango mkubwa toka kwenye hiyo kazi ya laana anayosema. Hata akifanya biashara halali atafanikiwa sababu ya umaarufu alioupata kwenye kazi ya dhambi,hana pakutokea
 
Kwahiyo ukiimba taarabu una kwenda Motoni??
 
Heri mzungu wa nepi amewazesha wawe na akili ya kuitawala dunia kisayansi,kiuchumi na kiteknolojia kuliko huyu Mungu wa Kiarabu(Allah) ambae ameshindwa kabisa kuwawezesha Waarabu na waislamu kielimu na matokea yake wamekuwa wa mwisho duniani kwa ujinga kwani hata ule uwezo wa kutengeneza hata pini tu ya kufungia bambasi hawawezi katu!!.
We mungu wako ni yupi? Manake mvaa nepi unasema wa wazungu
 
Mungu wa Kiarabu(Allah) hapendi binadamu apate raha au burudani.Mzee Yusuph yeye alishurutishwa na nani kuacha burudani?? Kama anamwacha mkewe kwa sababu ambazo hazina msingi aone jinsi mwanamke huyo atakavyogombewa kama mpira wa kona,kabla hata hajaandika hata talaka yenyewe watu watajibebea mzigo kiulaini na kuuficha ndani.Halafu aone atakavyoanza kuweweseka.
Kwa hiyo mungu wako wewe anapenda muziki wa taarabu uliojaa masimango na matusi kumbee,,una mungu mlevi na muhuni wewe
 
Heri mzungu wa nepi amewazesha wawe na akili ya kuitawala dunia kisayansi,kiuchumi na kiteknolojia kuliko huyu Mungu wa Kiarabu(Allah) ambae ameshindwa kabisa kuwawezesha Waarabu na waislamu kielimu na matokea yake wamekuwa wa mwisho duniani kwa ujinga kwani hata ule uwezo wa kutengeneza hata pini tu ya kufungia bambasi hawawezi katu!!.
We nadhani mungu lbilisi anayewafundisha wazungu kutengeneza vitu vya muda hapa duniani na wakifa wanaviacha hapa hapa duniani na havitawasaidia huko mbiguni
 
Nilishasemaga mimi..sitokuja kuolewa na mwanaume mwenye gubu kama hili milele[emoji46]!

Mawifi wanagubu sijawahi kuona[emoji35]...sasa huyo Khadija sijui anataka kuolewa na kaka yake?!
 
Back
Top Bottom