Mzee Yusufu kumtema mkewe baada ya kugoma kuacha kuimba taarabu kama alivyofanya

Mzee Yusufu kumtema mkewe baada ya kugoma kuacha kuimba taarabu kama alivyofanya

Mungu wa Kiarabu(Allah) hapendi binadamu apate raha au burudani.Mzee Yusuph yeye alishurutishwa na nani kuacha burudani?? Kama anamwacha mkewe kwa sababu ambazo hazina msingi aone jinsi mwanamke huyo atakavyogombewa kama mpira wa kona,kabla hata hajaandika hata talaka yenyewe watu watajibebea mzigo kiulaini na kuuficha ndani.Halafu aone atakavyoanza kuweweseka.
Unajuaje Mudy alimwacha Bi hadija au Aisha hivi hivi?

Jambo usilojua ni usiku wa giza mkuu.
 
Unaharibu lugha ya Taifa kwa sababu gani? Au umesoma madrasa peke yake,jiandikishe elimu ya watoto wakubwa (MEMUKWA) ili ukuze lugha yako ili usiwe unachapia ovyo.
NA kila aliesoma Madras basi herufi hazimtatizi kwa taarifa yako penye l ataweka hiyo hiyo l chunguza wengi wasiopitia Madras ndo wale penye l ataweka r ili mradi kizaazaa
 
Mungu wa Kiarabu(Allah) hapendi binadamu apate raha au burudani.Mzee Yusuph yeye alishurutishwa na nani kuacha burudani?? Kama anamwacha mkewe kwa sababu ambazo hazina msingi aone jinsi mwanamke huyo atakavyogombewa kama mpira wa kona,kabla hata hajaandika hata talaka yenyewe watu watajibebea mzigo kiulaini na kuuficha ndani.Halafu aone atakavyoanza kuweweseka.
Kina james delicious mnapenda taarab
 
japo kwamba peponi hawabebani bado hiyo sio sabab ya kumwacha mke apotee akiwa mikonon mwako

Pia maandiko yanatuambia kuwa kila mchunga ataulizwa alichungaje kondoo wake na elewa kuwa kwa mwanume mke na watoto ni kondoo wake ambao yampasa awachunge vema maana atawajibika kwa matendo yao ndio maana pia dini inatuambia kuwa waweza kuwa mtu wa sala masaa 24 ila wakuzungukao mf mke,watoto wanaeza kukufanya ukakosa pepo na ukaishia motoni!,
Wifi mtu mambo ya kaka yake na mkewe yanamuhusuje?
Huyo Mzee naye, kwani ye aliacha ghafla kuimba? Yeye alijitafakari akaamua kuacha taarab, amuombee mkewe na kuendelea kumshauri, taratibu naye ataacha.
 
Malkia Leyla ukipokea tu ile talaka njoo inbox tuongee kiutu uzima tafadhali
 
Mzee Yusuph afanye afanyavyo Moto haukwepi, tangu angali dagaa alifunzwa dini na mienendo ipasayo kwa makusudi aliamua kuchepuka na kumchukiza M/Mungu majukwaani, kwaiyo amuache Leyla nae aamue kama alivyoamua yeye ila ukweli ni kua Nyimbo zake zitamuhukumu Mbele ya Allah maana hata asipopanda jukwaani kuimba bado Dar live sauti yake itapambisha ukumbi na watu watafanya Mahasi kwa kuhamasishwa na maneno yake

Dada M/Mungu ni mwingi wa msamaha. Kinachohitajika kwake (Mungu) ni toba ya kweli, baaasi. Sasa wewe ni nani mpaka useme moto kwa Mzee Yusuph haukwepeki?!! Halafu kuhusu nyimbo zake ameshaweka wazi kuwa hausiki na dhambi yoyote tena itokanayo na kuskiliza hizo nyimbo. Amewataka watu wote waache kuziskiliza na hata kuziuza. Yani, sikiliza at your own risk!
 
Hivi na wale waliopotea kupitia nyimbo zake kawarudisha wawe watu Wema? Hivi nyie mnadhani Mungu ni mjomba wenu tunatenda dhambi makusudi tunawangiza dhambini watu wa Mungu alafu baadae kirahisi rahis mseme at ur own risk nani kasema!!
 
Back
Top Bottom