Mzee Yusuph amkataa mtoto aliyedai ni mwanae wa nje ya ndoa

Sometimes mistake za dada/mama ZETU kubeba mimba bila makubaliano kamili ndio matokeo ya hiv vtu.
Makubaliano yapi? Yaani wewe, umekutana na mwanamke, umepiga kazi, umemwagia ndani kwa hiari yako...tena hukuuliza hata kama yuko kwenye tarehe mbaya au la..sasa unataka makubaliano gani zaidi ya hayo.
 
Huyo kijana apambane tu kutafuta maisha yake! Kama baba hamtaki sio mwisho wa maisha.
Sio kila anayepanda anatarajia kuvuna, mwingine anatupa tu mbegu hana mpango na mavuno. Wanaume, mmmhhh!
🤣🤣🤣🤣 Aise balaa kwa hiyo yule mama alimbambikia mtoto mume wake.
Wanawake ni soo evil
 
Nlimwina utube yusuph achutame dogo anamfanana sana
 
aidha Yusuph ameongeza kuwa kama akikuta mtoto huyo ni damu yake atamfikilia kama aendelee kumlea au aachane naye kwani dini yake inasema mtoto wa nje ya ndoa siyo mtoto wake ni wa mwanamke.

Sent using Jamii Forums mobile app
Nchi hii haifuati sheria za dini bali ina sheria zake zilizotungwa na bunge hivyo asijidanganye.
Kwanza yeye mwenyewe hafuati hiyo misingi ya dini ndio maana amethubutu kuacha kushikamana na dini na kuamua kurudia kuimba taarabu.
 
In short wanamuziki wengi huwa na maisha fulani ya kihuni sana na baadae hugeuka majuto makuu.

Juzi usiku nilikuwa nasikiliza mahojiano aliyofanyiwa marehemu Adolf Mbinga mwezi mmoja uliopita akazungumza kitu kilichonisikitisha sana(nadhani ni kutokana na kuwa frustrated na maradhi maana angekuwa haumwi sidhani kama angetoa kauli ile) ,nimeweka link hapo chini ukimsikiliza kuanzia dakika ya 13 utamsikia anasema "watoto wengine wakubwa wapo,tunazaa zaa tu hovyo"

 
Kupima DNA hapo ni kupoteza tu muda na fedha. Mzee Yusuph aache mbambamba. Huyu mtoto ni damu yake.
aidha Yusuph ameongeza kuwa kama akikuta mtoto huyo ni damu yake atamfikilia kama aendelee kumlea au aachane naye kwani dini yake inasema mtoto wa nje ya ndoa siyo mtoto wake ni wa mwanamke.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuzaa inapaswa kuwa kwa ridhaa ya mwanamke na Mwanaume,

Mwanamke ukibeba mimba bila ridhaa ya Mwanaume unamfanya Mtoto aje kukataliwa akose kibali.

Wanaume wengi wako selective katika kuzaa.
 
Hivi mzee akitoka jukwaan miaka ileeeee wadada wote huwa wameloa akipoint mmoja wala hawajiulizi mara 2ni kwenda kukinukisha tu
Hivi mzee akitoka jukwaan miaka ileeeee wadada wote huwa wameloa[emoji2956][emoji2956][emoji2956][emoji2956]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…