Mzee Yusuph amkataa mtoto aliyedai ni mwanae wa nje ya ndoa

Mzee Yusuph amkataa mtoto aliyedai ni mwanae wa nje ya ndoa

Why wanawake wote huko Instagram wanasema Mzee Yusuph hana hela ?
Kwani mtu si anaweza kuwa na hela asioneshe?naona wanamshambulia hatari...utasema..wanalala na kuamka nae kila siku .
Ana pesa ya kawaida sana Kwa Sasa Mzee alikutwa na majanga ya kudaiwa almost 200millions alimdhamini mtu akauza Mali zake baadhi kidogo ,hvyo ameyumba kiuchumi Kwa Sasa si kama mwanzo,Nadhani ht nyumba yake ya mbagala aliuza kabaki na ya chanika tu Ndo anaishi hukoo,halafu pale alipokua anafyatua tofali Kwa Sasa biashara ina ushindani Sanaa tofauti na mwanzo alikua mwenyewe tu...!!Yani aliyekua mfanyakazi wake kafungua Hapo Hapo kwake na ana amehama na wateja
Duka la mkewe la vitambaa ni km limekufa vile yaani fasheni za zamani labda afufue hivi kàribuni
Bado hajakaa vzr tunamuombea arudi Tena kwenye fomu
 
Leyla kashazoea yule Kwa Sasa maana km kuachika angeachika enzi hizooo na Sasa Mzee kapoa sana
Mmakonde Yule mvumilivu Kama ndo hivyo.
Mie Mzee Yusuph, Masudi Kipanya, Dk Mwaka nawaona ni wanaume mal.ya walioamua kujikinga kwenye mwamvuli wa dini....haya dini imekuruhusu kuoa kuanzia wawili, hao watoto wa nje wanatoka wapi? Ndo kusema umejikwaa njiani zikamwagikia ndani?
Mwanaume mal.ya ni mal.ya hata apewe ruhusa ya kuoa wake wangapi.
 
Mmakonde Yule mvumilivu Kama ndo hivyo.
Mie Mzee Yusuph, Masudi Kipanya, Dk Mwaka nawaona ni wanaume mal.ya walioamua kujikinga kwenye mwamvuli wa dini....haya dini imekuruhusu kuoa kuanzia wawili, hao watoto wa nje wanatoka wapi? Ndo kusema umejikwaa njiani zikamwagikia ndani?
Mwanaume mal.ya ni mal.ya hata apewe ruhusa ya kuoa wake wangapi.
Uko sahihi,Hawa watu wahuni
Masudi Kipanya ana watoto Tisa au name nadhani

Shoga umeskia manara kakimbiwa na bi mkubwaa!?!!
 
Ni WA kwake
Kijana mmoja aliyejitambulisha kwa majina ya Ahmad Yusuph Mzee, amejitokeza hadharani katika studio za Wasafi Media akidai kwamba yeye ni mtoto wa mzee Yusuph wa damu kabisa ambapo anasema kwamba mama yake ambaye ni Marehemu kwa sasa alipewa ujauzito na Mzee Yusuph wakati alipokuwa akihudumu kama MC kwenye moja ya kumbi iliyokuwa huko Mbagala miaka ya 2002.

Ahmad anasema awali alikuwa akiishi na mama yake pamoja na mume wa mama yake ambaye awali alikuwa anamtambua kama baba yake mzazi, lakini kabla mama yake hajafariki alimweleza ukweli kwamba hakua baba yake wa kumzaa bali baba yake ni Mzee Yusuph ambaye ndiye huyu muimba taarabu.

Ahmad amesema licha ya kwamba anatambua kama Mzee ana mali za kutosha na ni mtu maarufu, yeye kipaumbele chake anataka wakapime DNA ajiridhishe kama kweli Mzee Yusuph ni baba yake mzazi ili awe na faraja pamoja na amani ya kujihisi yupo salama duniani kwani kwa maisha anayoishi sasa ni kwamba hana baba wala mama, maisha ambayo ni hatari na siyo kwamba anamtafuta ili apate upenyo wa kurithi mali.

Kwa upande wa Mzee Yusuph licha ya kufanana na mtoto huyo kuanzia Mapua, Mdomo, Mashavu, kichwa mpaka rangi ya meno na ngozi. Bila aibu Mzee amesema hamtambui kijana huyo kama mtoto wake na hana kumbukumbu kama aliwahi kucheza michezo ya hasara huko Mbagala kiasi cha kumpatia mwanamke ujauzito.

Awali Mzee Yusuph alikataa kabisa kupima DNA lakini baadae baada ya kushinikizwa alikubali kwenda kupima DNA lakini kwa masharti mazito, ambapo amesema kijana huyo akitaka wakapime DNA pesa ya vipimo aitafute mwenyewe kijana na andapo atakuta siyo mtoto wake basi hatua kali za kisheria za uzalilishaji zitachukuliwa dhidi yake, aidha Yusuph ameongeza kuwa kama akikuta mtoto huyo ni damu yake atamfikilia kama aendelee kumlea au aachane naye kwani dini yake inasema mtoto wa nje ya ndoa siyo mtoto wake ni wa mwanamke.
View attachment 2660998

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Haya maisha Haya Kuna time unajikataa mwenyewe.....
 
Nchi hii haifuati sheria za dini bali ina sheria zake zilizotungwa na bunge hivyo asijidanganye.
Kwanza yeye mwenyewe hafuati hiyo misingi ya dini ndio maana amethubutu kuacha kushikamana na dini na kuamua kurudia kuimba taarabu.

aliyekwambia Sheria za dini hazifatwi ni nani? Waislamu linapokuja suala la Mirathi, Talaka, Ndoa sheria za dini zinafatwa mkuu labda usitake tu mwenyewe, kwahiyo huyo dogo hawezi kutoboa hata kama ni wake kweli.
 
Makubaliano yapi? Yaani wewe, umekutana na mwanamke, umepiga kazi, umemwagia ndani kwa hiari yako...tena hukuuliza hata kama yuko kwenye tarehe mbaya au la..sasa unataka makubaliano gani zaidi ya hayo.
Hapo makubaliano ilikua mimba ama kazi?
 
Ila Mungu fundi watoto wa nje huwa wanakuja copy & paste .. tukija kwenye sharia ya Dini sio mwanae huyo ... Hata huo ubini alitakiwa achukue kwa mama yake
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Uko sahihi,Hawa watu wahuni
Masudi Kipanya ana watoto Tisa au name nadhani

Shoga umeskia manara kakimbiwa na bi mkubwaa!?!!
Tobaaa, kaachwa tena? Mi nawazaga Yule angeozeshwa Dida mindoa Kwa nguvu, afu mnawaambia mkiachana tu mnakufa🤣🤣🤣 Yani wafungishwe Yamini ya damu, labda watawezana🤣🤣
 
Back
Top Bottom