Mzee Yusuph amkataa mtoto aliyedai ni mwanae wa nje ya ndoa

aliyekwambia Sheria za dini hazifatwi ni nani? Waislamu linapokuja suala la Mirathi, Talaka, Ndoa sheria za dini zinafatwa mkuu labda usitake tu mwenyewe, kwahiyo huyo dogo hawezi kutoboa hata kama ni wake kweli.
Hakuna kitu kama hicho nimeshuhudia kesi za aina hiyo nyingi zinaishia kuamuliwa watoto wote kurithi bila kujali mtoto kazaliwa ndani ya ndoa au nje ndoa.
 
Ila Mungu fundi watoto wa nje huwa wanakuja copy & paste .. tukija kwenye sharia ya Dini sio mwanae huyo ... Hata huo ubini alitakiwa achukue kwa mama yake
Ila akipata pesa anakua wakwake
 
Hizi kesi pelekeni huko Zanzibar
 
Hakuna kitu kama hicho nimeshuhudia kesi za aina hiyo nyingi zinaishia kuamuliwa watoto wote kurithi bila kujali mtoto kazaliwa ndani ya ndoa au nje ndoa.

icho kitu kipo mkuu, labda wao wenyewe hawakufata taratibu zinazotakiwa.
 
Hili suala la bandari Zina vunja Hadi familia za watu.
 
Duuuuuuh basi hiyo dini ni hatari, eti mtoto ni mama kwamba alijipa mimba yeye mwenyewe bila ya kuwepo mwanaume 🤔🤔🤔🤔
 
Sasa hatari yake nini mtu mzima huyo? Hovyo sana.
 
Mtoto ni wa Mzee Yusuph hakuna haja ya DNA....features zinajielezea waziwazi...nimemuangalia mara mbilimbili ...labda upande wa kuhitimisha kisayansi umalizie.....shida ni kwamba dogo Hana pesa Hana maisha..,.Hivi dogo angekuwa mtu mkubwa Kaliba ya kina Diamond je Mzee angemkana? Namalizia Kwa kusema fu..k you shida[emoji1745]
 
aidha Yusuph ameongeza kuwa kama akikuta mtoto huyo ni damu yake atamfikilia kama aendelee kumlea au aachane naye kwani dini yake inasema mtoto wa nje ya ndoa siyo mtoto wake ni wa mwanamke.

Sent using Jamii Forums mobile app
Atuambie hiyo dini yake inaruhusu kuimba taarabu tena kwenye show wanajaa machoko kibao
 
ila wazanzibari tunafanana sn yote sababu wazee wetu wana watoto rundo hd kufikia hatua unaona ndugu bila kujua na majina yetu hy Ahmed, Ally, said ni common unapuuzia unaona nduguyo.
Wazee wapunguze mwendo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…