Kila atakaekunifuata, ajikane mwenyewe, aubebe msalaba wake anifuate..
Itamfaidia nini mtu akiupata ulimwengu wote akaukosa uzima wa milele na nafsi yake kupotea?
Hayo ni maneno ya kwenye Biblia
Unachopewa tu na mungu ukitumie, basi eeeeh? Mbona umepewa vingi lkn si vyote uvitumiavyo?Angeendelea tu kutoa burudani ajiingizie kipato chake maana mwenyezi Mungu ndiyo kampa hicho kipaji.