Mzee Yusuph: Maisha yangu yamekuwa magumu baada ya kuacha muziki

Mzee Yusuph: Maisha yangu yamekuwa magumu baada ya kuacha muziki

Huenda Mungu akampa mitihan zaid ya hiyo ili amuone tu kama atafaulu au atafail kwa kurud tena kweny taarabu.
Namtakia ufaulu mwema!
 
Kwakuwa 'umesikia'
ndo unaona inakupa haki ya kumdhalilisha kwa sababu tu umesikia?

Vyote ambavyo watu wanasema tunasikia vingekuwa vinatumika
kama ndio facts kuwahukumu watu wewe ungebaki salama?

Oya mbona povu hivi? au nimewagusa wengi?
 
ila jamaa ni mpambanaji sana katika kujitafutia maendeleo yake binafsi.

kuna mwaka fulani nilipokutana nae,kipindi hicho akiwa kwenye kilele cha ubora wake, aliniambia alikuwa anahudhuria evening class ktk chuo kimoja hapa dar.sijui alikuwa anasomea kozi gani na sijui alifikia wapi.

ila nahisi kuna kitu anakitageti....huko mbeleni atakuja kujiingiza kwenye siasa kwa kuanzia na udiwani au ubunge.
 
Huenda Mungu akampa mitihan zaid ya hiyo ili amuone tu kama atafaulu au atafail kwa kurud tena kweny taarabu.
Namtakia ufaulu mwema!
Atakuwa ameaamua kujitoa kwenye kundi la watoa sadaka au kafala
 
ila jamaa ni mpambanaji sana katika kujitafutia maendeleo yake binafsi.

kuna mwaka fulani nilipokutana nae,kipindi hicho akiwa kwenye kilele cha ubora wake, aliniambia alikuwa anahudhuria evening class ktk chuo kimoja hapa dar.sijui alikuwa anasomea kozi gani na sijui alifikia wapi.

ila nahisi kuna kitu anakitageti....huko mbeleni atakuja kujiingiza kwenye siasa kwa kuanzia na udiwani au ubunge.
Ni wanachama wa free mason tu
 
Avumilie allah atamfungulia milango mingine ya rizki inshalaahh
 
Kuhudumia wake 4 si mchezo, ila kwa kuwa anatimiza nguzo za uislam Mungu atampa njia ya kuendesha maisha yake, sasa anayaona magumu kwa kuwa tu Hakuna wa kumtuza jukwaani, wakati sasa ndio ulikuwa muda muafaka wa yeye kutuzwa njiani na msikitini kwa kuwa ameijua kweli.
 
Hizi site mbili za tofali kule chanika umefunga au bado zinapiga kazi,,,mzee yusuph hakuna mtu anaeuza tofali nying kama wewe wilaya hii ya ilala,,na ghorofa unajenga pale ofisin bado unasema mambo magumu?? Pale bonden buyun umempangia sijui nani yule nyumba sh 500,000 kwa mwezi[emoji16] [emoji16] [emoji16] nyumba ya yule mama anaefanya kazi ikulu bado kwel mambo mabaya?? Ha ha ha haya Mkuu ila jambo ulilofanya lina thawabu kwa Allah kuliko uliloacha
Mweh mweh mweh

Mambo hadharani
 
Tungeelewa Dini vema tungejua lengo lake Ila tunatamani mbingu kama watoto wanavyotamani pipi!
 
Kila mwanaume atakula kwa jasho lake.uwezi kaa hivihivi ukapata liziki alafu ukamsingizia Mungu
 
Back
Top Bottom