Mshana Jr
Platinum Member
- Aug 19, 2012
- 301,577
- 754,412
Hili ni tangazo la kutaka kurudi...anapima reaction kwanzaSitashangaa akirudia taarab
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hili ni tangazo la kutaka kurudi...anapima reaction kwanzaSitashangaa akirudia taarab
Kwakuwa 'umesikia'
ndo unaona inakupa haki ya kumdhalilisha kwa sababu tu umesikia?
Vyote ambavyo watu wanasema tunasikia vingekuwa vinatumika
kama ndio facts kuwahukumu watu wewe ungebaki salama?
Atakuwa ameaamua kujitoa kwenye kundi la watoa sadaka au kafalaHuenda Mungu akampa mitihan zaid ya hiyo ili amuone tu kama atafaulu au atafail kwa kurud tena kweny taarabu.
Namtakia ufaulu mwema!
Ni wanachama wa free mason tuila jamaa ni mpambanaji sana katika kujitafutia maendeleo yake binafsi.
kuna mwaka fulani nilipokutana nae,kipindi hicho akiwa kwenye kilele cha ubora wake, aliniambia alikuwa anahudhuria evening class ktk chuo kimoja hapa dar.sijui alikuwa anasomea kozi gani na sijui alifikia wapi.
ila nahisi kuna kitu anakitageti....huko mbeleni atakuja kujiingiza kwenye siasa kwa kuanzia na udiwani au ubunge.
Mweh mweh mwehHizi site mbili za tofali kule chanika umefunga au bado zinapiga kazi,,,mzee yusuph hakuna mtu anaeuza tofali nying kama wewe wilaya hii ya ilala,,na ghorofa unajenga pale ofisin bado unasema mambo magumu?? Pale bonden buyun umempangia sijui nani yule nyumba sh 500,000 kwa mwezi[emoji16] [emoji16] [emoji16] nyumba ya yule mama anaefanya kazi ikulu bado kwel mambo mabaya?? Ha ha ha haya Mkuu ila jambo ulilofanya lina thawabu kwa Allah kuliko uliloacha
Mambo ya u.turn, anapima upepo!!Gia yakurudi imeanza
Asijerudia tu matapishi kama alivyofanya majutoGia yakurudi imeanza
Mungu atamuadhibu kuanzia hapa hapa, mbona hakurudisha mali alizopata kwa kukata mauno!! Na hiyo m 25 alifanyia nini? Na aliowaroga je? Aliowalamba 0713 nao vipi? Na bado.na bado
asante kwa taarifa.Ni wanachama wa free mason tu
Mbingu ndio nini?Tungeelewa Dini vema tungejua lengo lake Ila tunatamani mbingu kama watoto wanavyotamani pipi!