Mzee Yusuph: Maisha yangu yamekuwa magumu baada ya kuacha muziki

Mm sijawai kuamini kama kuna muislamu atakaye enda mbinguni kwasababu dini yao ni ya kishetani wanafuga majini wanauwa watu wanaroho mbaya eti mtu kama lipumba nae anaenda makka kuiji duuuuu
 
kuna watu wanafiki hadi mwisho. alafu, kuna watu ukiwaangalia utafikiri wamebanwa na nnya aisee. wanakera sana.
 
na kama aliroga na kuwafanya watu misukule hapo asitubu?

Ndugu yangu tumesema sana.Tumeandika sana juu ya uchawi na ushirikina.Tumeandika sana juu ya majini.Tumeandika na kubainisha kwa kiasi juu ya Mapepo.Ni kwamba mambo hayo ni uongo na uzushi mtupu.Yeyote anayeamini na kuendekeza mambo hayo anahitaji kusaidiwa kiakili.
 
Muziki si dhambi kwa imani unayoiamini wewe au imani anayoaminj mzee yussuf?

Ipo imani ya kweli.Nayo ni ile iambatanayo na matumizi ya mantiki.Mungu hakumuumba mwanadamu kwa Bahati mbaya na kumpa akili ambayo mojawapo ya idara zake ni mantiki.Ukiona uko nje ya njia hiyo tafuta msaada haraka.
 
Bendi kama ni yake ana uwezo wa kuivunja, kuiuza au kuikodisha.

Ushauri aliopewa ni upotoshwaji mkubwa
 
Ipo imani ya kweli.Nayo ni ile iambatanayo na matumizi ya mantiki.Mungu hakumuumba mwanadamu kwa Bahati mbaya na kumpa akili ambayo mojawapo ya idara zake ni mantiki.Ukiona uko nje ya njia hiyo tafuta msaada haraka.
Mkuu swalk langu ni closed one that needed tick answer
 
Huwa nawapa pole sana wanaoishi katika nadharia za mwaka 0 ambazo ni vigumu kuziprove. Wakati wengine wanaumiza vichwa kuipata sayari nyingine inayofanana na dunia, wengine bado wanaamini heaven is under earth. Religion!!
 
Mm sijawai kuamini kama kuna muislamu atakaye enda mbinguni kwasababu dini yao ni ya kishetani wanafuga majini wanauwa watu wanaroho mbaya eti mtu kama lipumba nae anaenda makka kuiji duuuuu
kwani mbinguni ni kwako mpaka umpangie muislam? ataenda mbigu anayoitafuta yeye.....
 
Kwan nan alimtuma aache mziki?wenzie wanaacha mziki wakiwa washawekeza vyakutosha
 
Swali langu lilihitaji jibu la ndio au hapana

Philosophers wengi huwa hawana majibu ya ndio au hapana katika mambo jadidifu.Majibu kama hayo wakati mwingine watu wamekuwa wakitumia kama njia ya kukimbilia kutoa mahitimisho ya haraka hata pale masuala hayo yanapokuwa bado yanadai mijadala.
 
Yaani unachikichia pesa za wenzako unasema Mungu atajua....Mungu anataka ulipe bana, alisema Kaisari apewe chake aise.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…