Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Atampa tu muda ukifikaSi ampe na hela ili apunguze kulialia kama mtoto mdogo sasa.
na kama aliroga na kuwafanya watu misukule hapo asitubu?
Muziki si dhambi kwa imani unayoiamini wewe au imani anayoaminj mzee yussuf?
Aliyekuwa Msanii nguli wa Taarab nchini Mzee Yusuph amesema kwa sasa maishayake yamekuwa magumu baada ya kuacha muziki
Baada ya kuacha muziki anadai alijaribu shughuli nyingine ikiwemo kufungua duka Kariakoo lakini duka likafeli, lakini anasema maisha yamekuwa ya amani kuliko zamani na hata mtu akimuomba hela haogopi kumwambia hana kwa sababu hana kazi
Pia alipoacha muziki alikuwa ameshachukua milioni 25 za show na alipoulizwa itakuje na show alizochukua hela alisema Allah ndio atajua
Mkuu swalk langu ni closed one that needed tick answerIpo imani ya kweli.Nayo ni ile iambatanayo na matumizi ya mantiki.Mungu hakumuumba mwanadamu kwa Bahati mbaya na kumpa akili ambayo mojawapo ya idara zake ni mantiki.Ukiona uko nje ya njia hiyo tafuta msaada haraka.
kwani mbinguni ni kwako mpaka umpangie muislam? ataenda mbigu anayoitafuta yeye.....Mm sijawai kuamini kama kuna muislamu atakaye enda mbinguni kwasababu dini yao ni ya kishetani wanafuga majini wanauwa watu wanaroho mbaya eti mtu kama lipumba nae anaenda makka kuiji duuuuu
Mkuu swalk langu ni closed one that needed tick answer
Swali langu lilihitaji jibu la ndio au hapanaMkuu umetumia Lugha ya Malkia Elizabeth nimeshindwa kuelewa maudhui yako.Ulimaanisha nini?
Swali langu lilihitaji jibu la ndio au hapana
Wapi sasa wakati keshaanza kulia liaHiyo mitihani atashinda tu