mdundo ngoma sana
JF-Expert Member
- Jan 2, 2016
- 1,002
- 955
Kila la kheri mziki wako walikuwa wanajaa akina kaka poa na kufanya maasi ALLAH AKUJAALIE KHERI
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122]Kila atakaekunifuata, ajikane mwenyewe, aubebe msalaba wake anifuate..
Itamfaidia nini mtu akiupata ulimwengu wote akaukosa uzima wa milele na nafsi yake kupotea?
Hayo ni maneno ya kwenye Biblia
Haswaaa ndio gharama ya kuiacha dunia,lkn innallah maswabirina,kila mwenye kusubiri yupo pamoja na mwenyezi mungu.Pole sana ndio gharama ya kuiacha dunia na mambo yake
Aliyekuwa Msanii nguli wa Taarab nchini Mzee Yusuph amesema kwa sasa maishayake yamekuwa magumu baada ya kuacha muziki
Baada ya kuacha muziki anadai alijaribu shughuli nyingine ikiwemo kufungua duka Kariakoo lakini duka likafeli, lakini anasema maisha yamekuwa ya amani kuliko zamani na hata mtu akimuomba hela haogopi kumwambia hana kwa sababu hana kazi
Pia alipoacha muziki alikuwa ameshachukua milioni 25 za show na alipoulizwa itakuje na show alizochukua hela alisema Allah ndio atajua