Mzee Yusuph: Maisha yangu yamekuwa magumu baada ya kuacha muziki

Mzee Yusuph: Maisha yangu yamekuwa magumu baada ya kuacha muziki

Kila la kheri mziki wako walikuwa wanajaa akina kaka poa na kufanya maasi ALLAH AKUJAALIE KHERI
 
Kila atakaekunifuata, ajikane mwenyewe, aubebe msalaba wake anifuate..

Itamfaidia nini mtu akiupata ulimwengu wote akaukosa uzima wa milele na nafsi yake kupotea?

Hayo ni maneno ya kwenye Biblia
[emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122]
 
Aliyekuwa Msanii nguli wa Taarab nchini Mzee Yusuph amesema kwa sasa maishayake yamekuwa magumu baada ya kuacha muziki
Baada ya kuacha muziki anadai alijaribu shughuli nyingine ikiwemo kufungua duka Kariakoo lakini duka likafeli, lakini anasema maisha yamekuwa ya amani kuliko zamani na hata mtu akimuomba hela haogopi kumwambia hana kwa sababu hana kazi
Pia alipoacha muziki alikuwa ameshachukua milioni 25 za show na alipoulizwa itakuje na show alizochukua hela alisema Allah ndio atajua


Hana iman huyo haoni hizo ni mitihani za mung?au anataka kurudia tena muzik
 
Thawabu yako iko hayo ni mapito tutaacha vyote
 
Back
Top Bottom