Mzee Yusuph Makamba: Nampongeza Rais Samia kwa mabadiliko ya Baraza la Mawaziri, asema isiwe mshangao wakirudishwa

Siku hili zee la hovyo likifwariki itakua sherehe na dhihaka itakua kubwa sana bahati mbaya sana halitokua linasikia
 
40 people are here!!

Lucas Mwashambwa tia neno tafadhali.
Mimi sina neno ndugu yangu ,ndio maana unaona nipo kimya kwa sababu kama sina neno huwa siongei hata kama nikipewa nafasi ya kuongea. Mengi yamezungumzwa na wengine, ambapo mimi sioni sababu ya kuzungumza Mengine tena.

Kazi ni kipimo cha utu.

Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.

Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
 
Kwahiyo utamlazimisha hata kama amehemewa?
 
Lucas ongea na Mzee, inaonyesha anaweza kukusaidia!!
 
Hahah Jamaa anawachoraga sana wasiomjua ๐Ÿ˜‚

Ila Yote kwa Yote Lucas ni Kada mtiifu๐Ÿ™๐Ÿ™๐Ÿšธ๐Ÿš“
Ninachofurahia saiz Yale mambo ya makada kuteuliwa sifa kuu ikiwa n.i kutukana WAPINZANI yanaenda yanapungua.

Ni muhimu kuelezea na kufafanua na kurudia tena na tena KAZI wanazofanya viongozi, Si kutukana pekee.
 
Mawaziri wenyewe waliotumbuliwa Wameshindwa kushukuru nafasi waluzotumikia ndio huyu babu aje kuwasemea?

Hawafai kurudisha barazani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ