KikulachoChako
JF-Expert Member
- Jul 21, 2013
- 19,185
- 37,239
Tatizo kubwa la waTanzania hatuna nidhamu ya kila kitu kwenye maisha yetu ya kila siku......
Nidhamu ni kitu muhimu sana kwenye mzunguko wa maisha ya mwanadamu.......
Watanzania wengi ni wavivu na hawapendi kufanya kazi....ukijituma na kutimiza wajibu wako kazini utaonekana kihere here na kinachofuata ni kupigwa majungu na kuzushiwa mambo ya kijinga mpaka ofisi uione chungu........Fanya ofisi yako ikuone wewe n asset
Hii ni tabia ya mtu mmoja bila kujali itijakadi ya mtu kisiasa....hiyo tabia tumerithishwa na ccm
Ndio tubadilike Sasa sio boss, sio mwenye Mali, sio mtumwaji, wote tuwe productive kwa kila jamboWatanzania wengi ni wavivu na hawapendi kufanya kazi....ukijituma na kutimiza wajibu wako kazini utaonekana kihere here na kinachofuata ni kupigwa majungu na kuzushiwa mambo ya kijinga mpaka ofisi uione chungu........
Kupambana sio kupata,kuna wamepambana Sana tangu ujana hadi uzee na awajatokaMkuuu kuna watu wanapambana sana kufanya kazi kweli kweli lakini ofisi nyingi hazithamini hasa serikali yetu.Binafsi mm niliamua kujituma kweli kweli kwenye kazi yangu ya ualimu ,nafundisha hisabati mazingira yenyewe yakijijini ,unafundisha mda wote inatumika hadi wekend,unatoka kazini saaa 12 ili wanafunzi waweze hisabu.
Unaangaika kila mwaka upate A na B za hesabu kwa kujila kweli kweli lakini no motisha na asante ,yaani akili yako myingi unaiwekeza kwenye kazi za watu wewe unasubiri ukistaafu ndoo ujenge kwasababu salary ni kidogo.
Sasa nikaamua kuwa kama wengne ambao akili yao muda mwingi wanawaza ya kwao na wanafelisha kweli kwenye masomo yao,mambo yamebadilika kwangu angalau lakini kazini kumekwama hakuna cha A wala B.
Hakuna motisha Hakuna mabadiliko.Mabadiliko huanza na wewe Kama hyo ofisi unataka ibadilike lazima na wewe ubadilike kivyovyote vile mkuu.
Funga mkanda mkuu
Sio lazima kumfanyia mtu kazi(kutumwa) Bali unaweza kujifanyia kazi(kujituma).Hakuna motisha Hakuna mabadiliko.
Unajituma unazalisha mwanasiasa ndie anaenda zitumbua kiulaini bila jasho
Wewe ndo umeamua kumuachia kazi ya kuleta ugali mezani mwanasiasa kwangu Mimi BIG NO!Mafanikio yako na mwanasiasa yana link.
Check ishu ya tozo, kupanda kwa bei za vitu,kesi za uhujumu uchumi tajiri anafunga investment baada ya kufilisiwa na mwanasiasa watu wanapoteza ajira