Mzigo mpya wa mwendo kasi umeingia bandarini - Kongole Rais Samia

Mzigo mpya wa mwendo kasi umeingia bandarini - Kongole Rais Samia

Hakuna makasiriko,mabasi sio ya kuagiza labda engines tuu,tungekuwa na policies nzuri hizo ni kazi na kodi, CCM ni failure
Ingekua hivo hakuna nchi ingekua inaagiza kila nchi ingekua inajitegemea, shirikisha komwe sometimes
 
Huwezi kuelewi na akili yako fupi, lakini mabasi sio ya kuagiza ni waste of resources,assembling itself inatosha to create jobs
Lilishaaanza kufanyiwa kazi mda lakini hayakutoka quality, kwa mfano kuna kampuni inaitwa NYUMBU ya jeshi, magari hayakutoka quality sana hata ya kipanya kama uliyaona, hivo basi mbelen obvious kama watu watakua washapata experience why not ila kwa sasa huezi sema unamsubiria mtu
 
Back
Top Bottom