Lilishaaanza kufanyiwa kazi mda lakini hayakutoka quality, kwa mfano kuna kampuni inaitwa NYUMBU ya jeshi, magari hayakutoka quality sana hata ya kipanya kama uliyaona, hivo basi mbelen obvious kama watu watakua washapata experience why not ila kwa sasa huezi sema unamsubiria mtu