The Evil Genius
JF-Expert Member
- Mar 21, 2014
- 6,017
- 19,506
Iwe kwenye mpango mara ngapi wakati Musk amesema wamekamilisha kila kituView attachment 2526565
Tanzania sio moja ya nchi zilizoko kwenye mpango kwa mwaka huu 2023 wala 2024.
Basi tungekuwepo kwenye hiyo orodha mkuu.Iwe kwenye mpango mara ngapi wakati Musk amesema wamekamilisha kila kitu
Si ndio hapo Yan keny, Mozambique, Rwanda ,Zambia ziwepo karibu kabisa nasis alafu tz isiwepo nap ndio shida ana maslai na mitandao ya hapa bongIwe kwenye mpango mara ngapi wakati Musk amesema wamekamilisha kila kitu
Mkuu huoni hata orodha yako haijakamilikaBasi tungekuwepo kwenye hiyo orodha mkuu.
Hiyo orodha imeishia hapo mkuuMkuu huoni hata orodha yako haijakamilika
Leta updated basi mkuuMkuu hiyo orodha ya kitambo
Hiyo orodha imeishia hapo mkuu
Isome full hapa.
Nachoomaanisha hiyo orodha ya Tanzania iko toka mda ndio maana Elon musk alisema amekamilisha kila kitu bado approval ya serikali, waziri naye amekili washajadiliana na Mara ya mwisho ni January mwaka huu yeye anadai kuna nyaraka Starlink haijakamilishaLeta updated basi mkuu
Mkuu wataruhusu tu labda kama wamechoka kupiga picha na mamabeberu huko kwa bidenHawawezi kuruhusu, maisha, nimekaa pale
Mkuu kuna kitu huelewi.Mkuu huoni hata orodha yako haijakamilika
Kama approval haijatokewa huwezi kuwekwa kwenye waiting list. Waiting list kama Kenya ama Zambia walishatoa kibali ama approval. Ni ishu za logistics tu za Starlink kukamilisha na kuleta mzigo.Nachoomaanisha hiyo orodha ya Tanzania iko toka mda ndio maana Elon musk alisema amekamilisha kila kitu bado approval ya serikali, waziri naye amekili washajadiliana na Mara ya mwisho ni January mwaka huu yeye anadai kuna nyaraka Starlink haijakamilisha