Mzigo wa Starlink Rwanda

Mzigo wa Starlink Rwanda

Screenshot_20230222_182745_Chrome.jpg


Tanzania sio moja ya nchi zilizoko kwenye mpango kwa mwaka huu 2023 wala 2024.
 
"It would be amazing to see the same deal in the Philippines. Local carriers there deliver poor service at high prices & enjoy world-leading margins. Introducing competition via Starlink could really shake things up"

Hiyo ya ufilipino ni same case na kwetu hapa Tanzania. Mitandao yetu bei ghali, huduma mbovu. Starlink itakuja kutuokoa.
 
Mkuu huoni hata orodha yako haijakamilika
Mkuu kuna kitu huelewi.
Nimekuwekea updated list ya nchi zote zilizo na huduma ya Starlink na zinazosubiria. Tanzania haimo.

Tanzania haimo kwa sababu bado hawajatoa kibali ama ruhusa Starlink itumike Tanzania. Serikali ikitoa kibali basi na Starlink wataiweka Tanzania kwenye orodha ya waiting countries. Kenya, Zambia unaziona zipo kwa sababu walishatoa kubali.

Hope umeelewa.
 
Nachoomaanisha hiyo orodha ya Tanzania iko toka mda ndio maana Elon musk alisema amekamilisha kila kitu bado approval ya serikali, waziri naye amekili washajadiliana na Mara ya mwisho ni January mwaka huu yeye anadai kuna nyaraka Starlink haijakamilisha
Kama approval haijatokewa huwezi kuwekwa kwenye waiting list. Waiting list kama Kenya ama Zambia walishatoa kibali ama approval. Ni ishu za logistics tu za Starlink kukamilisha na kuleta mzigo.
 
Back
Top Bottom