The Evil Genius
JF-Expert Member
- Mar 21, 2014
- 6,017
- 19,506
- Thread starter
-
- #41
Mkuu sio hivyo😂.Kwa Hio kifurushi cha 1000 ama 2000 utasaidiwa kupunguza bei na Starlink?
Kabisa.Hivi unaweza kuitumia hii kuendeshea internet cafe?
Naona kama itafaa sana kwa internet cafe ambayo mtu hata anaweza kuja na PC yake au simu yake akadownload na kuperuzi atakavyo. Hizi internet cafe zimezoeleka zinalimit mtu kupakua.Kabisa.
Hata kama una taasisi ay kampuni ipo porini au nje sana ya mji na haina connection ya internet ya uhakika unaweza weka starlink.
Mradi biashara yako iweze ku-cover hiyo monthly subs fee.
Starlink ina 1TB data Cap, so ukiruhusu wazee wa kushusha movie inaweza kula kwako.Naona kama itafaa sana kwa internet cafe ambayo mtu hata anaweza kuja na PC yake au simu yake akadownload na kuperuzi atakavyo. Hizi internet cafe zimezoeleka zinalimit mtu kupakua.
Kumbe. Nikajua ni unlimited hasa.Starlink ina 1TB data Cap, so ukiruhusu wazee wa kushusha movie inaweza kula kwako.
IT per month.Kumbe. Nikajua ni unlimited hasa.
Nailed it...[emoji1756]Starlink siyo cheap kama watu wengi wanavyodhani hapa . Starlink haipo ku compete na hii mitandao tuliyozoea , lengo lao ni kwenda remote areas ambapo hii mitandao mingine haijawekeza.
This is the reason wateja wa starlink ni wachache sana duniani , wachache mno hata market share yake duniani ni ndogo sana tena sana haifiki hata 10% . Hii inaonesha hata huko kwao kama USA watu wengi hawaitumii.
Hii hadithi umeitoa wapo boss?Starlink siyo cheap kama watu wengi wanavyodhani hapa . Starlink haipo ku compete na hii mitandao tuliyozoea , lengo lao ni kwenda remote areas ambapo hii mitandao mingine haijawekeza.
This is the reason wateja wa starlink ni wachache sana duniani , wachache mno hata market share yake duniani ni ndogo sana tena sana haifiki hata 10% . Hii inaonesha hata huko kwao kama USA watu wengi hawaitumii.
Hii hadithi umeitoa wapo boss?
Starlink imeanza 2019, miaka 3 iliyopita sasa itakuaje na market share kubwa wakati bado ndio inajitangaza?
Unaweza kuleta ushahidi kwamba Starlink sio cheap compared na hizi mobile operators?
View attachment 2529610
Hapo Forbes wanasema Marekani Starlink iko mjini ama vijijini?
$ 44 mwezi tujipange sana ....wakati kifaa 1.2mil ...nataka kujua kama ni unlimited or bundle inaisha ......nadhani bado bundke telecom zitakuwa nafuu kwa Walio wengi kuweka huku 3 ....nasubiria
Watabana wataachia tu.Huwezi kuzuia maji kwa mikono.Ukweli ni kwamba Starlink inakuja pia Tz, kinachoendelea sasa ni kuchelewesha tu ili kupima (kutathmini) athari zake kiuchumi kwa nchi za kiafrika zinazotuzunguka, lakini huenda kabla ya kwisha mwaka huu Starlink itakuwa hapa Tz.
Tanzania kwa 99% haiwezi kukwepa ujio wa starlink kwa kuwa, ndani ya miaka miwili kutoka sasa zaidi ya 80% ya nchi za Afrika (huku 100% ya nchi zinazopakana na Tz) zitakuwa zimeunganishwa na mtadao wa Starlink, na kwa sababu hiyo Tanzania haiwezi kubakia kuwa kisiwa cha kukwepa teknolojia ya mawasiliano.