The Evil Genius
JF-Expert Member
- Mar 21, 2014
- 6,017
- 19,506
- Thread starter
- #41
Mkuu sio hivyo😂.Kwa Hio kifurushi cha 1000 ama 2000 utasaidiwa kupunguza bei na Starlink?
Naongelra wale wanaotumia bando la kuanzia laki kwa mwezi.
Mfano Sasa kama utalipa Dollar 45 kama Rwanda kwa mfano sasa na TZS 106k kwa mwezi halafu mnatumia zaidi ya watu 10 nyumbani, unlimited.
Kwa wale tunaotumia bando la elfu 10 kwa mwezi haituhusu sana ingawa kutokana na ushindani kutakua na mabadiliko kidogo kutoka kwenye hii mitandao yetu.