Marekani walitaka kumtoa Endorgan, sababu Endorgan ni tishio kwa israelMh kwa mm nilivyofuatilia sidhani km ule ulikua ni mchezo wa kisiasa.
Nahisi ni kweli walitaka kumpindua maana kiukweli Erdogan ana upinzan mwingi mpk kwa wananchi wenyewe .
Unawasingizia tu....ingekuwa ni kweli huenda Uturuki ingeshajitoa Nato......Marekani walitaka kumtoa Endorgan, sababu Endorgan ni tishio kwa israel
Mkuu taratibu maana mkubwa wa Chama amevurugwa; asije akakutukana kama alivyofanya kwa huyu mwandishi wa Fox.Democrats huwa hawawezi kuvuka awamu zao mbili bila kupigana vita; lichama lao ni klabu la wanywa-damu!
Mh kwa mm nilivyofuatilia sidhani km ule ulikua ni mchezo wa kisiasa.
Nahisi ni kweli walitaka kumpindua maana kiukweli Erdogan ana upinzan mwingi mpk kwa wananchi wenyewe .
Huwez milik kampun za silaha au za mercenaries mpaka uwe miongon mwa malegendari wa serikal tofaut na hapo utamilik kampuni ya ulinzi tuHivi mercenaries kama hao wanaokodiwa na serikali hawawezi kuwa tishio kwa usalama wa nchi husika huko mbeleni?
Nitaisoma mkuu.https://www.google.com/url?sa=t&sou...0QFnoECAgQAQ&usg=AOvVaw01FgZoduq9of4cMhRBvvY4
https://www.google.com/url?sa=t&sou...cQFnoECAUQAQ&usg=AOvVaw1ejnrYmVLIWgH8iPlG85qK
Nimeshindwa kufanya hiyo link address isomeke.
Soma mtiririko wa matukio,
1) wanajeshi wa nchi kubwa kama Uturuki wanatumia whatsapp group kwenye harakati za mapinduzi !!!
2) Hawajazima Tv, Redio wala mitandao ya kijamii !!!
3) watu zaidi ya 50000 wamehusishwa na mapinduzi !!!!
4) wanamapinduzi kulipua bunge na ikulu !!!!
https://www.google.com/url?sa=t&sou...0QFnoECAgQAQ&usg=AOvVaw01FgZoduq9of4cMhRBvvY4
https://www.google.com/url?sa=t&sou...cQFnoECAUQAQ&usg=AOvVaw1ejnrYmVLIWgH8iPlG85qK
Nimeshindwa kufanya hiyo link address isomeke.
Soma mtiririko wa matukio,
1) wanajeshi wa nchi kubwa kama Uturuki wanatumia whatsapp group kwenye harakati za mapinduzi !!!
2) Hawajazima Tv, Redio wala mitandao ya kijamii !!!
3) watu zaidi ya 50000 wamehusishwa na mapinduzi !!!!
4) wanamapinduzi kulipua bunge na ikulu !!!!
The question is..., Wanapigana na Nani...Democrats huwa hawawezi kuvuka awamu zao mbili bila kupigana vita; lichama lao ni klabu la wanywa-damu!
Hilo ni kweli. Jamaa serikali yake imekuwa kama za kiafrika tu, anahusishwa na biashara za madawa ya kulevya, rushwa kupindukia, kupotea mabilioni ya walipa kodi huku akishindwa kuchukua hatua yoyote, kuwapa silaha ISIL na kubwa kuliko yote kuharibu uchumi wa Uturuki kwa sera zake( Erdoganomics).Nitaisoma mkuu.
Ila raia mahaba yao ni madogo sana kwa serikali ya Recep Tayyep walizungumziaje hilo!?
Sera za Erdogan alipokuwa waziri mkuu ziliitajirisha mno Uturuki na kuongeza ushawishi wa Uturuki duniani.Hilo ni kweli. Jamaa serikali yake imekuwa kama za kiafrika tu, anahusishwa na biashara za madawa ya kulevya, rushwa kupindukia, kupotea mabilioni ya walipa kodi huku akishindwa kuchukua hatua yoyote, kuwapa silaha ISIL na kubwa kuliko yote kuharibu uchumi wa Uturuki kwa sera zake( Erdoganomics).
Mapinduzi gani yanafanyika wiki nzima? Haikukushangaza. Ndege zilienda kulipua majengo ya bunge ili iweje. Kuna mambo huwa yanafanana kwenye mapinduzi karibu yote duniani;Hii ngoma ilivyotokea ilikuwa ni kama vile tunacheki TV pale Istanbul then mwenyeji wangu akaniambia Rone hali ni tete mwandishi anaongea nyuma ya mjegeje, dakika kadhaa mara jet fighter zinapita juu na adhana zinapigwa kila kona saa nne usiku....Erdogan alito free transport week nzima ili watu wakisanyike maeneo ya wazi kupinga mapinduzi
Wanajeshi walikuwa wanazuiwa na wazee huku wengine wanalia.
Wamekata tamaa kulinda mipaka ya nchi yao?!Leo niliangalia documentary RT juu ya vikosi vilivyopo front daah hao wa ukraine unaona kabisa wakati wakihojiwa wamekata tamaa ila basi utafanyaje kikubwa wanasiasa wanaponza sana
Itafute utaona mtu ambae yupo psycho utamuona tu hata akihojiwa kuhusu RT nafahamu ni ya wapi ila pale kumbuka wanasimama kama waandishi tuWamekata tamaa kulinda mipaka ya nchi yao?!
Na umeangalia RT ambayo ni kituo cha runinga cha serikali ya Urusi! Hahaha! Psychological warfare!
Kama Waganda kibao walikua Afghan na Iraq, wengine bado wapo Iraq hadi muda huuHivi mercenaries kama hao wanaokodiwa na serikali hawawezi kuwa tishio kwa usalama wa nchi husika huko mbeleni?
Story za kwenye kahawa hizo wewe unahisi unajua vizur kuliko NATO?Wadau tuendelee kuchangia hii mada ni tamu, kombora Moja tu Kiev, lazima NATO na USA akili ikawe Sawa huku North Korea nae akipeleka mzigo wa tani za kutosha Urusi, Patamu hapo!
Kiporo sio kizur mkuuSu 35 ikianza kufanya operation zake hapo hivi silaha hapo utaziona takataka nato ni wazugaji tu kumbuka silaha walizopewa afghanistan
Unaelewa maana ya propaganda? Tbc iache kumpamba jiwe iongee ukweli kuhusu Tundu Lisu?Itafute utaona mtu ambae yupo psycho utamuona tu hata akihojiwa kuhusu RT nafahamu ni ya wapi ila pale kumbuka wanasimama kama waandishi tu
Kama wao ndio waliofanya hayo mahojiano, wanasimama kama waandishi wa "the Kremlin".Itafute utaona mtu ambae yupo psycho utamuona tu hata akihojiwa kuhusu RT nafahamu ni ya wapi ila pale kumbuka wanasimama kama waandishi tu
Inawezekana ikawa RT lkn wafanyakaz ni waukraineKama wao ndio waliofanya hayo mahojiano, wanasimama kama waandishi wa "the Kremlin".
Anyway, ngoja nikuulize swali dogo: je, huoni kwamba hiyo ni mbinu ya kijeshi ya Ukraine ya kujidogosha zaidi ama kujionesha kwamba wamekata tamaa tena mbele ya media ya adui yao, Urusi?