"Mzigua" Au aliyeoa uziguani Afunguke hapa!!!!!

Sasa Mimi tanga sijawahi kanyaga kabisaa,advantage yangu ni kuwa nimekijua kwa sababu wazazi wangu wote wazigua halafu home wanaongea kilugha tu
Una Bahati. Mimi kizigua sijawahi kukisikia. Kichaga nimekisia hadi basi ila zaidi ya salamu sina ninachokijua
 
Una Bahati. Mimi kizigua sijawahi kukisikia. Kichaga nimekisia hadi basi ila zaidi ya salamu sina ninachokijua
Haahaa,nimeishi uchagani Mimi mwenyewe nimeambulia salamu tu...Uchagani makabila yapo mengi kusikia kila kabila ni kazi pevu....
 
Kichaga kigumu. Mama angu anaongea kichaga kisambaa na kizigua ila Mimi nimeambulia kisambaa tu
kisambaa ni kirahisi sikijui ila wakiongea nawaelewa.
na wazigua mna undugu na wasambaa?
wasambaa wana wasichana wazuri balaa kama wazigua tu ..au macho yangu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…