Mbwana mohamedi
Senior Member
- Aug 1, 2018
- 141
- 151
Hapo ndugu umepoteza mada waziguwa hawapo ivyo kama unavyo zani kama ni mtu mwenye huluka yake hata awe nani anafanya hiyo haina kabilaKijana wa kiume wa kizigua akishaweza kumiliki nyumba ya fito imeezekwa kwa nyasi(biwi), baiskeli, gobole, shoka na panga. Huyo ameshakua na uwezo wa kuoa.
Wazigua wanapenda sana majina ya kike ya, majabu, mwajabu, masefu, zaitun, habiba nk.
Huu sasa ni udhoefu wangu. Demu wa kizigua hata kama umemuoa, akienda kusalimia kwao kijijini, kama alikua na basha wake lazima atapasha kiporo joto.